ni kwanini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wanawake wa kibongo hukosa mvuto mapema?

    Sio kwa nia mbaya, Yaani mwanamke wa kibongo(average one) anacho offer mara nyingi ni ngono tu.. Kinacho weka mahusiano sio ngonopekee bali ni mutual love and responsibilities. Si semi kubeza watu ama kuanzisha makundi ya ku bully watu, Ila naongelea uhalisia uliopo nje na tumeweza ku...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini Tanzania bado haijapata tena mpinzani mwenye nguvu ya kiuchumi na ushawishi wa kisiasa kama hayati Edward Ngowai Lowasa?

    Je, ni kwasababu wapinzani waliopo sasa wameshindwa kabisa kujikomboa wao wenyewe kiuchumi na hivyo automatically wamekosa ushawishi na kuaminika kisiasa kwa wananchi? Nini kifanyike walau wawepo wanasiasa wa upinzani Tanzania, ambao hata kama ni wanyonge kiuchumi, basi walau wawe na agenda au...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini mtu Malaya watu wanamuita kicheche?

  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini mikoa mingi yenye makao makuu kwenye wilaya zenye majina tofauti na mikoa zipo nyuma ?

    Kasoro mikoa michache kama Kilimanjaro, mikoa mingi yenye makao makuu kwenye wilaya zenye majina tofauti zipo nyuma sana 1. Musoma - ipo nyuma sana, mji huu ukitoa watumishi wa umma na majengo ya serikali upo nyuma sana 2. Bukoba - Mji upo nyuma sana kwenye mzunguko wa pesa, wengi wameukimbia...
  5. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini waafrika tunaona unene ni fashion?

    Yaani mtu akiwa mwembamba bongo ataonekana hana hela, hana maisha mazuri.. Ila watu wa namna hii wanaonekana wamejipata, Ila kwa wenzetu hii inatafsiriwa kama obesity yaani ugonjwa wa nyama uzembe.. Kwa sababu ya eating disorders. Je ni misinformation ya namna nzuri ya ulaji walionayo...
  6. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini watu wazima hawako vulnerable?

    Katika kuishi kwangu na jamii za wamatumbi nimekuja kugundua wamatumbi wengi huwa wanaojifanya sana wako bold! Ni sawa kuwa hivyo katika muktadha wa kutoa kuwa lelemama, ila Kuna time watu wanabena weakness na kujificha katika ukali na matumizi ya lugha chafu hasa kwa namna ya kujilinda...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Sioni ni kwanini askari wasizime vurugu za Oktoba 29, 2025 kwa risasi. Ningewashangaa

    Askari wanapopewa ripoti ya uhakika kuwa wafanyavurugu wamevamia vituo vya polisi kuua polisi na kupora silaha na sare za jeshi la polisi unadhani anaepewa ripoti hiyo atatuma askari kwenye tukio la kuzima vurugu waliobeba virungu, filimbi na pingu tu? Hapohapo kumbuka askari wengi walikuwa...
  8. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Kutoka 'Boss' Kwenda Kebehi: Mbona Heshima Hupungua?

    Moja ya kitu ambacho sisi wabongo tunajua vyema ni kumnafikiana.. Utakuwa kama mtu hakujui vyema, atakuita majina kama, boss, kiongozi, mkuu, kamanda.. And so forth.. Ila baada ya ku kujua au kuku friendzone utaanza kusikia inaitwa vitu vya ajabu, mara, yaani ukaribu ni kama kigezo cha ku...
  9. Think2

    JamiiForums Tanzania Swali:Hivi ni kwanini wazanzibar hawanaga vichogo ?

    Hilo jambo linanitatiza sana mwezi uliopita nilikuwa zanzibar nikapata kibinti cha kipemba sasa ile nimekileta magetoni nakivua ushungi hivi asee sikuamini yaani kichogo hakuna ni flat screen ila sura nzuri. Kipindi nasoma pale sokoine kulikuwa na wazanzibar kama kumi wa kiume yaani hawana...
  10. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini binadamu anathamini mtu au kitu cha kupita?

    Kwa mfano mtu akiiba, atafukuzwa na kupigwa hadi kufa. Huyo mtu anaweza kuwa kaiba labda kwa sababu ana njaa, au kakosa namna ya kupata pesa halali. Ni sawa, ila kwanini binadamu kayaweka maisha yake ya revolve around umiliki wa vitu? Mbona wanyama wao wanaishi kulingana na Matakwa ya mazingira...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini mtuhumiwa anaonyesha kukata tamaa kuanzia mwanzoni tu mwa kujitetea kwake?

    Je, ameona public sympathy aliyoitegemea haipo tena na haina msaada au anatumia mbinu hiyo ya kinyonge kuiatract tension na public sympathy upya kitaifa na kimataifa? Kwasababu sote ni mashuhuda wa kuona na kuskia, anachokifanya muungwana ni kama vile kuaga ndugu, jamaa, marafiki wa kitaifa na...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini kujiondoa CCM na kujiunga upinzani ni hasara na mwanzo kujimaliza mwenyewe kisiasa?

    Ni sababu zipi hasa, hufanya mwanasiasa anaetoka upinzani na kujiunga CCM kufaidika, kushamiri na kuneemeka kisiasa, kijamii na kiuchumi, tofauti na mwanasiasa anaetoka CCM na kujiunga upinzani ambao daima hudumaa zaidi kisiasa, kijamii na kiuchumi? Unadhani kuna muujiza gani wa hali hizo za...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini BBC hua inapenda sana kuzua taharuki kwanza kwa jamii kwa upotoshaji, halafu inakuja kurekebisha uongo huo wa makusudi baadae?

    Tazama hiyo artwork yao hapo chini, kuhusu jaji wa Namibia, ndipo unaweza kunielewa kirahisi. Na sio mara ya kwanza wala mara moja kwa BBC kudanganya umma kwa makusudi namna hii. Hapajawahi kutokea Rais wa Tanzania amemteu jaji wa Namibia kua mjumbe wa tume ya uchaguzi Tanzania. Na hapa sio...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Chadema huwachukia na kuwabagua wa Zanzibar?

    Na ni kwanini Chadema ina wachukia na kuwabagua sana waisilamu na hata ukiangalia uongozi wa Chadema taifa hawapo? Lakini pia hakuna muisilamu na wala hakuna mzanzibari kamati kuu. Na kama wapo, kwa faida ya wadau wote wa JF, anae wajua aelezee kinagaubaga jukwaani, nadhani itapendeza zaidi...
  15. Whackiest

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Huwa hivi??

    Kwanini matajiri huwa hawashiriki moja kwa moja kufanya ubaya badala yake vijakazi wake Je waogopa Karma ? Je wanaogopa lawama Tuchukulie hii scenerio Au naomba kutapa ufumbuzi mfano kwnye kampuni X Tajiri amegundua kuna wizi umefanyika na aliyefanya anabainika . Boss anamwamuru kijakazi...
  16. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini mwanaume anapozidi kuwa mtu mzima busara na hekima huongezeka na vise vesa......?

    Hata ukihitaji ushauri mtafute mzee mtu mzima zaidi, lakini mwanamke mtu mzima zaidi utaambulia pumba na mashudu...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini ukimya wa Freeman Aikaeli Mbowe, unaipa kiwewe Chadema masalia kisiasa kwa sasa?

    Freeman Aikaeli Mbowe, aliwahi kua mwenyekiti wa chadema taifa kwa kipindi kirefu kiasi, lakini tangu uongozi mpya wa chama hicho ulivyoshika hatamu, Chadema masalia nayo imekosa utulivu wa kisiasa, lakini pia Chadema masalia haina agenda, sera wala hoja ya kueleweka. Chadema masalia imekua...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kila sehemu kuna unyanyasaji lakini ni kwanini tumezoea kusikia wafanyakazi wa kiafrika wakinyanyaswa zaidi kwa waarabu kuzidi kwa wazungu ?

    Tatizo huwa ni lipi licha ya baadhi ya waarabu kuwa na mioyo safi ila imekuwa kawaida sana kupata malalamiko ya wafanyakazi wengi wakinyanyaswa nchi za waaabu ?
  19. Daniel Aloyce Daniel

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini dini za sasa zinafanya watu wajisikie vizuri ila sio wawe wazuri?

    Unajua kwenye muda mchache nilioishi duniani, nimekuja kugundua kuwa madhehebu na dini nyingi za sasa zinafanya watu wajisikie vizuri na sio kuwa watu wema. Maana nikiangalia kwenye nyumba nyingi za ibada, waliojaa wengi si watu wema hata kidogo, wengi ni wale extremely dangerous people . Sisemi...
  20. Palac

    JamiiForums Tanzania Hoja kwa hoja; Ni kwanini wazazi kwasasa wamepoteza mvuto kwa watoto wao (BIRTH)

    Hivi sasa kwa zama hizi wengi ni wazazi pengine kwa kutarajia kua na wengine hawakutarajia imetokea tu. Kwasasa wazazi wanalalamika watoto wao kutowahudumia zaidi wanapofikia uzee lakini watoto hawa hawa unakuta mjini ana maisha ya kuweza kumtumza mzazi au wazazi wote wawili lakini kwa GenZ...
Back
Top Bottom