Eti, nifanye nini?

Okiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,kumbe ndio weweeeeeeeeeeeeee,nitakutembelea muda si mrefu kwenye blog yako.Nimeogopa kidogo tu nilipotazama muda uliojiunga na idadi ya post zako nikajua huyu lazima ni Asprin huyu.Usiwe na shaka mama karibu sana,mimi ndio mtakatifu halafu sijaoa bado Madame B , Ruttashobolwa na Nicas Mtei mkinikwoti leo halali mtu....

Mapaka mengi hutumika nyakati za usiku
 
Last edited by a moderator:
Nipo dada, nilikuwa nasoma mchezo maana charminglady kuw ahumu kuna waume za watu nisije vamia koloni la watu nikatolewa ngeu, hapa najaribu kusoma mchezo

Kuna mkaka anaitwa Ruttashobolwa na tedo naona kama vile wananinyatia, je wana wenyewe hao au nijitwalie mmoja?

Jamani vukani nilivyopishana na wewe kwenye hii korido ya CC nilitaka kudondoka...Binti mzuri kama tausi..Usiogope nipo kwaajili yako..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom