Eti, nifanye nini?

Eti, nifanye nini?

Ili niwe mwenyeji wa jukwaa hili la Chit Chat?

Kwa kifupi mimi ninaishi Arusha, lakini nimezaliwa Dar na kukulia Dar ingawa wazazi wangu ni wenyeji wa Kilimanjaro. Kule Arusha niko Kibiashara, nikisafiri safiri kwenda Nairobi na Kampala kibiashara.
kwa sasa niko Dar kwa wazazi wangu nikisubiri kula sikukuu.

Ingia mzima mzima humu cc kwanini ubip?
 
Burudani muhimu Mkuu ndio maana wengine wanakuwa wateja wa JF hata kulala hawalali ukiwakuta makazini au vyuoni wamechokaaa!!! lol! kisa addiction waliyokuwa nayo na jamvi la JF inayowafanya wakati mwingine kukesha jamvini.

hahaha...mkuu si unajua tena kabla ya kulala inabidi kuondoa hasira zoteeee
 
Habari za asubuhi wandugu wapenzi!!!!!!!!!!!!
 
Nipo dada, nilikuwa nasoma mchezo maana charminglady kuw ahumu kuna waume za watu nisije vamia koloni la watu nikatolewa ngeu, hapa najaribu kusoma mchezo

Kuna mkaka anaitwa Ruttashobolwa na tedo naona kama vile wananinyatia, je wana wenyewe hao au nijitwalie mmoja?

Shost kuwa makini atii... kuna wengine wamepumxishwa na wake zao ila hawajaachana so wasikudanganye!?
 
Last edited by a moderator:
Morning hoyeeeee..... wapi wifi langu la ukwenheee!!! mwaka lazima kieleweke ili mwakani ndimu na pemba zihusikeee Madame B bado umelala?????
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom