Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,534
- 30,087
Unakideri ehh...au umekunywa wanzuki..Panda stuli ili akuone maana uoni wewe peke yako ndio mfupi hapa?
Unakideri ehh...au umekunywa wanzuki..Panda stuli ili akuone maana uoni wewe peke yako ndio mfupi hapa?
Ili niwe mwenyeji wa jukwaa hili la Chit Chat?
Kwa kifupi mimi ninaishi Arusha, lakini nimezaliwa Dar na kukulia Dar ingawa wazazi wangu ni wenyeji wa Kilimanjaro. Kule Arusha niko Kibiashara, nikisafiri safiri kwenda Nairobi na Kampala kibiashara.
kwa sasa niko Dar kwa wazazi wangu nikisubiri kula sikukuu.
Muelezee kbs asije akarushiwa ngumi akicheza na waume zetu.
Kiaje? Funguka
Mwache acheze cheze kidogo alaf na hisi atakuwa mwana hip hop!
Muelezee kbs asije akarushiwa ngumi akicheza na waume zetu.
hahahahah hujalala bado??? mie ngoja nijilaze bana...2moro ni siku ndefu..
Afu we shem,
Umekimbia nyumba unakuja kupunga upepo huku.
Ntakukata DuDu yako.
tena sio ngumi pekeyake.. bali na vitu vyenye ncha kali vinavyotomea upande usiojulikana...
Chezeiya mume wa mtu wewe"!!!!
Mekukosa sana my wify... mzima wewe?????
Nilale tena?
Mwenzio naelea Mars huku.
Napiga piga kifua cha Muzee Pedeshee la Kihindi.
dudu yangu inalindwa na mitambo maalum ya kuzuia wezi...ukiigusa tu unapigwa shoti ya makalio
Hapo Chacha.
Wifi langu la Ukwenhe.
Afu wifi eti kaka yupo huko?
Maana aliniaga juzi kuwa anakuja pande hizo.
Usinitishie kujamba wakati unahara wewe.
Hilo dudu la ukubwa gani mpaka ulikodishie Ulinzi.
Tupa kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeee............!!!!!!!!!!!!
😛lane:
Hapo Chacha.
Wifi langu la Ukwenhe.
Afu wifi eti kaka yupo huko?
Maana aliniaga juzi kuwa anakuja pande hizo.
yupo yupo kabisa... anakaga masato na masangara... ila atakuna usihofu my wify najua ushammiss sana tu. Haya lala salama ngoja sie tupigiane hadisi na kakako hapa!!!!!