Eti, nifanye nini?

Eti, nifanye nini?

Burudani muhimu Mkuu ndio maana wengine wanakuwa wateja wa JF hata kulala hawalali ukiwakuta makazini au vyuoni wamechokaaa!!! lol! kisa addiction waliyokuwa nayo na jamvi la JF inayowafanya wakati mwingine kukesha jamvini.

Umeona eeeh... hata me ni mhanga wa hili. issue ni kutoka hapa!!!
 
Hehheehe stooooooooop!simameni kwanza,mnakurupuka tu vitandani hamjui mtakula nini!
Nina taarifa njema,ilipofika mida ya saa 11 alfajiri nikanyoosha mkono kumkumbatia wangu wa moyo,nikashangaa nagusa mito,nimeamka saa hv meza imechafuka hasa asikwambie mtu kwa hiyo muanzie home wote mpate hata sunna kabla ya kwenda kwa wakoloni mamboleo kujenga taifa la mafisadi
 
Ili niwe mwenyeji wa jukwaa hili la Chit Chat?

Kwa kifupi mimi ninaishi Arusha, lakini nimezaliwa Dar na kukulia Dar ingawa wazazi wangu ni wenyeji wa Kilimanjaro. Kule Arusha niko Kibiashara, nikisafiri safiri kwenda Nairobi na Kampala kibiashara.
kwa sasa niko Dar kwa wazazi wangu nikisubiri kula sikukuu.

yaap! Mimi nipo kamati ya kupokea "wakina dada" hapa Arusha! Ukini pm nitakutambulisha kwa jamii yote ya wana Arusha. Ila "hakikisha" Arushaone, Erickb52, PakaJimmy, sweetlady Preta hawapati hii habari maana hawakawii kumwambia wife wangu marejesho.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom