Nifanye nini Ili nisimpoteze

Nifanye nini Ili nisimpoteze

Dodoma comfort

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
455
Reaction score
786
Wakuu kwema ,naombeni ushauri Niko kwenye mahusiano na binti age 20 Kwa sasa na ni Yuko advance huko mkoani,Mimi Niko dar ,huyu Binti ameonekana kunipenda sana na Mimi nampenda pia ,pia nashukuru Mimi ndio mwanaume wake kwanza Binti pia anamalengo ya kuja kuanzisha familia na Mimi coz Kwa sasa Nina miaka 25 na najitambua kabisa na Kuna mbaga nafanya baada ya kuona kufatilia ajira za serikali ni michosho
Je nizidi kumsubiri Binti aje kuwa my wife?
Au nianzishe niwe na mwingne tu maana Binti ana miaka kama mitano hivi ya elimu ,Japo kwao mama ake na baadhi ndugu zake wananijua ila Mzee wake ndio mkaksi alitaka kuniletea noma ila nashukuru Mungu nilitoka salama
Thus ;naombeni ushauri wenu apo nifanye nini ili Binti nisimpoteze hizi apa texts zake 👇🏾hizo xx , baby wangu bado sio mjanja mjanja😂😂😂
 

Attachments

  • Screenshot_20260925-112854.jpg
    Screenshot_20260925-112854.jpg
    158.4 KB · Views: 12
Sasa Paulo umeshindwa kabisa kujua wote mnaongozwa na utoto mdogo wangu. We mwenyewe siku ukikutana na kisu ingine size yako utagundua mlikuwa mnadanganyana tu. Na yeye akienda chuo akakutana na wakubwa wanaojitambua kidogo wenye sumni kukuzidi ataajiona alikuwa mjinga kweli naa hizo msg zenu

By the way kukujihxhm ndio nini kaka?
 
Sasa Paulo umeshindwa kabisa kujua wote mnaongozwa na utoto mdogo wangu. We mwenyewe siku ukikutana na kisu ingine size yako utagundua mlikuwa mnadanganyana tu. Na yeye akienda chuo akakutana na wakubwa wanaojitambua kidogo wenye sumni kukuzidi ataajiona alikuwa mjinga kweli naa hizo msg zenu

By the way kukujihxhm ndio nini kaka?
Anajiheshimu yaan atunze heshima yangu kwake
 
Mkuu mapenzi ya mbali magumu sana, anaweza kuongea hivyo then akarudi na ujauzito. Kikubwa kama una imani nae Kaza ila kama unaona hafai piga chini usije kujutia baadae
Ndio hvo mkuu kikubwa Imani tu maana Binti bado yupo advance pia Mimi ndio niliemtoa bikra na Yuko poa pia hata kweny heshima na utii Mungu amsaidie tu
 
Back
Top Bottom