Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Hadi namuonea wivu kaka yangu,
Na alivyokuwa na Ugwadu nahisi ataondoka na vipande vya nyamanyama.
Hahah usiniambie bwana mkubwa kashatupia kambani, jamaa yupo faster!!!
Hicho kwangu ni kibamia tu.
Ukikohoa.....kuleeeeeeeeeee...........
Anawaogopa akina shemeji 'zima taa' kama akina nyie.
huna cha mke wa kaka wala mtoto wa Mama wa Kambo.
Hapo Chacha.
Wifi langu la Ukwenhe.
Afu wifi eti kaka yupo huko?
Maana aliniaga juzi kuwa anakuja pande hizo.
Hujambo Madame B? Mbn hujanipa feedback?
teh teh teh... taratibu bibi naona usingizi umefika haya ulalwe salama... Na sie ndo twalal.ana hivyoooooo!!!!! byeeeeeee.....b
Hahah usiniambie bwana mkubwa kashatupia kambani, jamaa yupo faster!!!
hebu tulale huko... wachana na madame b!!!!!
Wifi una Ugwadu kama Mbilimbi mbichi.
Haya na matunda tuyaone, hukuja kucheza Disko huko.
haya lalaneni swalama.
Wifi una Ugwadu kama Mbilimbi mbichi.
Haya na matunda tuyaone, hukuja kucheza Disko huko.
haya lalaneni swalama.
Na daktari amesema ni mapacha
Duh! Una mshededo wewe. Sikuwezi
mmh shem hizo shutma sasa, mie nimepita Jandoni bhanaaa heshima ndio wangu mwiko lol
kumbe upo around...
Ulikunywa juisi ya Tende na maziwa nini? maana mapacha si mchezo ati lazima utakua ulishughulika kama mwiko wakti wa kusonga SEMBE
Kwa hiyo Umekatwa?
vukani kuya pande hz.
nikuone.