Eti, nifanye nini?

Eti, nifanye nini?

vukani Jibu hili swali!wewe ni mwanaume,mmeenda kutembea na Rafiki yako mpendwa,mlipofika maeneo ya nje ya mji,mkakuta kuna beach,akaamua aende kujisaidia haja kubwa,katikati ya shughuli yake akang'atwa na nyoka matakoni karibu na glumeti ya kutolea mizinga,sasa kuna option mbili 1.umnyonye sumu huyo rafiki yako ambaye ni mwanaume,sehemu zake za haja kubwa ambapo ameng'atwa na nyoka ama
2.umuache afe.
Utachagua lipi hapo baada ya hapo ndipo nitakapokuruhusu kuonana na Chilli na tedo maana huwezi onana hata na wajumbe wa kamati sa hv mpaka ufanye hii mitihani vema.

nnyaa sinyonyi meku...kaah!!chukulia mpo beach,mara demu wake akakukuta ndo unamnyonya nyoro jamaa ake,au ukapigwa picha duh.
 
Mie leo nakesha mpaka niwajue wote humu

Wazo zuri sana hili,ila nina wasiwasi,yaani toka 2009 una idadi hiyo tu ya mchango katika jukwaa hili,au ndio zile Ids 10 za Asprin kaamua kuikumbuka mojawapo..??
 
Last edited by a moderator:
Wazo zuri sana hili,ila nina wasiwasi,yaani toka 2009 una idadi hiyo tu ya mchango katika jukwaa hili,au ndio zile Ids 10 za Asprin kaamua kuikumbuka mojawapo..??

Mimi ni mdau wa hapa JF lakini niko bize sana na shughuli za kibiashara na kama ukisoma post zangu za nyuma utanijua huwa naandika true story na nina blog yangu binafsi kwa jina la ID yangu, nitembelee
 
Okiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,kumbe ndio weweeeeeeeeeeeeee,nitakutembelea muda si mrefu kwenye blog yako.Nimeogopa kidogo tu nilipotazama muda uliojiunga na idadi ya post zako nikajua huyu lazima ni Asprin huyu.Usiwe na shaka mama karibu sana,mimi ndio mtakatifu halafu sijaoa bado Madame B , Ruttashobolwa na Nicas Mtei mkinikwoti leo halali mtu....
 
Last edited by a moderator:
Huyo @st paka mweusi ndo mtakesha naye mpaka asubuhi maana yeye shughuli zake nyingi ni za usiku,huwa anapenda kutembelea africa,asia america kwa usiku mmoja,huwa anatumia usafiri asilia wa kupeta mchele,pia anapendelea kuingia ktk nyumba za watu.mkaribishe
 
Bado najifunza kutoka kwenu dada.
nataka mauzoefu
yaani hapa mauzoefu utayapata ya kumwaga mdogo wangu, yaani kuna wataalamu hapa ni balaa, jitahidi kujibana hapa hapa usisahau pia kupitapita kule MMU kuna maujuzi balaa.
taratibu utatusoma tu kadiri siku zinavyoenda. huku ni stress free tunajimwaga tu na kujenga undugu/urafiki/uchumba.....
Onana na rafiki Madame B kama huna partner afanye the needful, lol!
 
Last edited by a moderator:
Huyo @st paka mweusi ndo mtakesha naye mpaka asubuhi maana yeye shughuli zake nyingi ni za usiku,huwa anapenda kutembelea africa,asia america kwa usiku mmoja,huwa anatumia usafiri asilia wa kupeta mchele,pia anapendelea kuingia ktk nyumba za watu.mkaribishe

Umeshaanza kuharibu sasa,unafikiri mimi ni kama wewe uliyemroga Madame B kwa uchawi wako wa Lubumbashi mpaka akawasahau Chilli tedo na Ruttashobolwa...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom