Eti, nifanye nini?

Karibu sana!
Chagua jibu sahihi
a) she
b)he

Ili niwe mwenyeji wa jukwaa hili la Chit Chat?

Kwa kifupi mimi ninaishi Arusha, lakini nimezaliwa Dar na kukulia Dar ingawa wazazi wangu ni wenyeji wa Kilimanjaro. Kule Arusha niko Kibiashara, nikisafiri safiri kwenda Nairobi na Kampala kibiashara.
kwa sasa niko Dar kwa wazazi wangu nikisubiri kula sikukuu.
 
Binti jibu swali lingine,,' upo ktk ndege juu ambamo ndani kuna matofali 500,ukaamua kuchukua tofali moja na kulitupa chini utabakiwa na matofali mangapi?

Ahsante dada
kwa hiyo hapa kwa kifupi watu hawajuani zaidi ya kupiga soga tu, au nimekosea?
 
samahani kaka, haya nipe introduction niwajue watu na nafasi zao na taratibu za humu mjengoni,

haya basi pita ndani bibie, kila mmoja atajimbulisha...ila kuna lihendisamu flani linaitwa Erickb52 ukiingia tu koridoni kwake mlango wa rum yake una maneno Amyner umeondoka umeniacha mpweke ....halafu kuna kabinti flani karembo sana na kanapenda sana wageni utakua ulimkuta hapo kibarazani anaulizia bei za ving'amuzi, charminglady ndio lake jina na ni binti yangu wa kwanza, measkron ndiye mamaye na ndiye ubavu wangu wa kulia na kushoto, mtoto mixer ya kihabesh na kinyarwanda, ana nywele za singa, na macho yaitayo.
...........upo hapo?...........
 
Last edited by a moderator:
Nimesoma post nyingi humu naona kama vile mnajuana
wadada kama cacico, Madame B, Ciello, charminglady, Kipipi, snowhite, @FP, sweetlady lara 1, na wanaume kama vile kina Arushaone, Erickb52, manoah, Baba V, Asprin, platozoom, Bujibuji, na wengnei naona kama vile ni group ya watu wanaokutana mara kwa mara kutokana na mzungumzo yao humu, jinsi wanavyochomekeaga out of topic kuashiria kuna jambo wao tu ndio wanalifahamu

Mara nyingi huwa natoka kapa kwa sababu naingiaga huku kwa ku bip
Mi hata siwajui watu wa humu....namjua nanii tu ila hayupo kwa sasa!
Byeeee vukani
 
Last edited by a moderator:
Ili niwe mwenyeji wa jukwaa hili la Chit Chat?

Kwa kifupi mimi ninaishi Arusha, lakini nimezaliwa Dar na kukulia Dar ingawa wazazi wangu ni wenyeji wa Kilimanjaro. Kule Arusha niko Kibiashara, nikisafiri safiri kwenda Nairobi na Kampala kibiashara.
kwa sasa niko Dar kwa wazazi wangu nikisubiri kula sikukuu.

afu bidada nakutahadharisha kabisaaaa usije sema sikukwambia. Ukikutana na hensamu boy mmoja hivi, mrefu, rangi ya mtume, akicheka ana dimpozi, body structure iliyokwenda shule na mwenye tabasamu la haja aitwa C6 tafadhali akikusemesha usigeuze hata jicho moja. Ni baba watoto wangu a.k.a baba kijacho!!

Labda nikupe kakaangu mpenzi Nicas Mtei, kijana mtanashati, mpole mwenye mapenzi ya kweli sema huwa ana bahati mbaya ya kukutana na magumegume. Huyu yupo singo.... Haya VODACOM KAZI NI KWAKO....
 
Last edited by a moderator:
haya basi pita ndani bibie, kila mmoja atajimbulisha...ila kuna lihendisamu flani linaitwa Erickb52 ukiingia tu koridoni kwake mlango wa rum yake una maneno Amyner umeondoka umeniacha mpweke ....halafu kuna kabinti flani karembo sana na kanapenda sana wageni utakua ulimkuta hapo kibarazani anaulizia bei za ving'amuzi, charminglady ndio lake jina na ni binti yangu wa kwanza, measkron ndiye mamaye na ndiye ubavu wangu wa kulia na kushoto, mtoto mixer ya kihabesh na kinyarwanda, ana nywele za singa, na macho yaitayo.
...........upo hapo?...........
Jamani nimewamiss chitchat ila wasalimie sana wooooote nitajitokeza weekend ikibidi
Pia msalimie sana Nicas Mtei na Bishanga
watu8 unanikumbusha machungu aiseee ila yupo anawachora tu mnavyoniandama!
Heheheheee mi kwa Amyner sibanduki hata kama iweje
 
Last edited by a moderator:
haya basi pita ndani bibie, kila mmoja atajimbulisha...ila kuna lihendisamu flani linaitwa Erickb52 ukiingia tu koridoni kwake mlango wa rum yake una maneno Amyner umeondoka umeniacha mpweke ....halafu kuna kabinti flani karembo sana na kanapenda sana wageni utakua ulimkuta hapo kibarazani anaulizia bei za ving'amuzi, charminglady ndio lake jina na ni binti yangu wa kwanza, measkron ndiye mamaye na ndiye ubavu wangu wa kulia na kushoto, mtoto mixer ya kihabesh na kinyarwanda, ana nywele za singa, na macho yaitayo.
...........upo hapo?...........

daddy hebu nisifie na mie mwanao lol.. Napata wivu saaasaaa!!!!!
 
Last edited by a moderator:
afu bidada nakutahadharisha kabisaaaa usije sema sikukwambia. Ukikutana na hensamu boy mmoja hivi, mrefu, rangi ya mtume, akicheka ana dimpozi, body structure iliyokwenda shule na mwenye tabasamu la haja aitwa C6 tafadhali akikusemesha usigeuze hata jicho moja. Ni baba watoto wangu a.k.a baba kijacho!!

Labda nikupe kakaangu mpenzi Nicas Mtei, kijana mtanashati, mpole mwenye mapenzi ya kweli sema huwa ana bahati mbaya ya kukutana na magumegume. Huyu yupo singo.... Haya VODACOM KAZI NI KWAKO....

Mwe mwe mwe mwe. Leo napambwa hvi? Si bure.. Lazma niote
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom