Eti hatujui... kipimo gani kinatumika?

Eti hatujui... kipimo gani kinatumika?

Tupe basi uhondo kidogo ndugu yangu,

Hiki kizazi inawezekana kimeshatuacha mbali sana!

Mzee DC, nitajaribu kukumbuka lakini point kubwa iliyokuwa inazungumziwa kule ni kuwa romantic kwa maana ya kuwa katika kujiandaa kwa tendo wanaume wa kibantu wao hawachukui muda mrefu kumuandaa mpenzi wake kabla ya business..............point moja ambayo aliitoa kaka mmoja alisema hii yote inategemea tunavyoidefine ile kuandaa na ingredients tunazoweka ili mtu aandaliwe. Aliuliza kina dada mnataka mfanyiwe nini ili muandaliwe vya kutosha,, ichukue muda gani ili mjione kuwa muda muafaka umetumika kwa ajili ya kuandalia. Alisema tusiige vya wazungu ambao wao wanahitaji kuandaa toka asubuhi kwa kuwa wao hawana jinsi kutokana na mila na desturi au utamaduni wao. Alieleza mf. kwa mwanaume wa kizungu ambaye kwa culture yao wanawake wao ni kawaida kuvaa nusu uchi huku maungio yale ya kutamanisha yamezoeleka machoni kwa mwanaume, ni lazima extra nguvu na time itumike ili kumuandaa mdada (hii inajumlisha kuandaana toka asubuhi, kikiss kwa muda mrefu tena kila pahali ili mradi tu hisia zivutike na mazingira yaruhusu.

Hii ni tofauti kwa mwanaume wa kibantu ambaye hakuzoea kuona maungo yake yanayoamsha ashki mapema yakiwa nje nje tu kiasi kuwa the moment anapoyaona anakuwa aroused na hivyo kumtaka avumilie ni kumwonea bure. Yeye kwa tamaduni yake ni kuwa akiliona lile nofu la juu ya goti, anahema, akiligusa ndo unammaliza kabisa huku silaha ikiwa tayari (nasikia huwa wanapata maumivu flani kama shinikizo linakuwa kubwa kwa muda mrefu bila kupozwa - mi sijui bana). Na isitoshe wabantu (wadada tumejaaliwa ile rangi na mvuto wa yale maeneo ya sitiri kulinganisha na wenzetu wazungi ) Sasa unapoanza kumtaka mkaka wa kibantu achukue muda mrefu kukuandaa wewe mdada wa kibantu wakati ulishamuarouse ni kumwonea.

KwWenye mengine ya kawaida mfano kununua maua, kununua card alichosema ni kuwa si sehemu ya tamaduni zetu

Jamani muwe na usiku mwema, mie ni Mtanzania halisi, kukosa umeme ndio kitambulisho changu.
 
Kabla hatujaenda mbali jamani, what is romance? To keep it simple, mi nasema romance ni jinsi unavyotenda mbele ya mpenzi wako. It is a stupid definition, but with a lot of meaning... Unaweza kumfanyia mke/mpenzi wako mambo mengi sana kumfurahisha, lakini hata asishtuke. Wanawake wa kiafrica wanafurahishwa na wanaume wanaowahakikishia kuwa wako safe katika MAZINGIRA YA KIAFRICA
 
Dark City

Nafikiri kwanza tuje kwenye root ya neno romantic/ romance. Kimsingi neno hilo lilianza likimaanisha "of/relating to Rome" [Reference: History of Western Architecture]. Tukiangalia shina la neno hilo tu tayari tunakuta linajikita zaidi kwenye tamaduni za Roma kwanza, Ugiriki, Ulaya na nchi za Magharibi. Hapo neno hilo kwa kiasi kikubwa limeshawatoa watu wasio na asili au waliokuwa hawajaguswa na tamaduni za huko Roma. Kwa hiyo kutafsiri mahaba kama romance tayari ni kutuondoa kwenye tamaduni yetu :]

Jee wanaume wa kitanzania wanajua mahaba?

Kimsingi kwa watu tuliokuwa exposed na wanaume wa culture nyengine, wengi tunaweza kuona kuwa hawajui, kwani wanavyo express mahaba ni tofauti mno na wanavyo express hawa wenye asili ya Roma. Lol

That being said, wanaume wa Tanzania wanaweza kuongeza bidii kidogo kuonyesha mapenzi yao kwa vile wanawake wengi sasa wamekuwa exposed na tamaduni za nje na unaweza kukuta mwanamke hayupo satisfied. Vitu vidogo vidogo kama zawadi au maneno ya kimapenzi yangeongezwa frequency ingependeza zaidi.
 
exactly

mwanamke wa kizungu ukinunulia ua ni jambo kubwa saana
wa kiafrica ua sio jambo kubwa,jambo kubwa pengine umnunulie nguo au gunia la mchele hivi
au utangaze ndoa kabisaa lol
 
mfano tuongeze bidii kwenye nini?
 
Hii ni tofauti kwa mwanaume wa kibantu ambaye hakuzoea kuona maungo yake yanayoamsha ashki mapema yakiwa nje nje tu kiasi kuwa the moment anapoyaona anakuwa aroused na hivyo kumtaka avumilie ni kumwonea bure. Yeye kwa tamaduni yake ni kuwa akiliona lile nofu la juu ya goti, anahema, akiligusa ndo unammaliza kabisa huku silaha ikiwa tayari (nasikia huwa wanapata maumivu flani kama shinikizo linakuwa kubwa kwa muda mrefu bila kupozwa - mi sijui bana). Na isitoshe wabantu (wadada tumejaaliwa ile rangi na mvuto wa yale maeneo ya sitiri kulinganisha na wenzetu wazungi ) Sasa unapoanza kumtaka mkaka wa kibantu achukue muda mrefu kukuandaa wewe mdada wa kibantu wakati ulishamuarouse ni kumwonea.

Jamani muwe na usiku mwema, mie ni Mtanzania halisi, kukosa umeme ndio kitambulisho changu.

Suala la mda mara nyingi halina effect. 'Kuna jamaa yangu' yeye ana wanawake zaidi ya wawili. Anasema kuwa kati yao kuna ambaye akishaanza tu safari ya kwenda kwake, na kama kuna uwezekano wanaenda kufanya, njia nzima dudu linakuwa mlingoti, na akifika anakuwa tayari. Lakini kuna mwingine ambaye hata afanyeje, lazima ajilazimishe, na akishafanikiwa kuwa wima, basi inabidi aende tendoni mara moja maana huyo dada akiendelea kumgusagusa anahisi kama kero na kitu kinasinyaa, na hapo ndo ntolee.

The same happens to akina dada (kwa wachache niliwahi kuwasoma)... Kuna mwanaume ambaye akimuona tu au akiwaza kuwa ana-do naye, chini kunalowa chapa chapa lakini kuna mwingine hata upulizie marashi ya Oman, hata umbemende siku nzima, sana sana atajibaraguza tu na visauti ili uridhike, na hata 'akilainika' mkianza hachukui dk 5 kabla hajawa mkavuuuu...
 
mfano tuongeze bidii kwenye nini?

Kwa neno la kiswahili sanifu niseme ....muongeze 'hashuo'. Yaani muonyeshe yale mapenzi. Mie ninahisi mwanamme wa Kitanzania akishakuambia anakupenda anataka uridhike kuwa anakupenda bila ya kuonyesha kwa mbwembwe nyingi kama wenzetu wa Roma.

Hebu ongeeni vile vitu vinavyowa attract kwa wanawake zenu hata mkiwa nje ya tendo la ndoa. Kuna mwengine wife ana macho mazuri lakini hamsifu mpaka wawe kunako shughuli. Wanawake wanapenda kusifiwa hasa na wale wanaowapenda. Wewe mwaga misifa tu ila usizidishe chumvi sana. ...:]

Pili zawadi ndogo ndogo hata Big G muhimu, mwanamke anaona aaah kanifikiria alipokuwa huko nje sikutoka mawazoni mwake moja kwa moja. Tuji express feelings zetu zaidi. Manake unakuta mwanamme kuna kitu kimremind wife yupo job, lakini wala hawezi kumuandikia hata msg kumwambia wakati wenzetu wenye asili ya Roma aaah wanajiachia tu.
 
tunafanya mpaka wanaboreka mbona...
unampigia mtu simu,unamwambia tazama channel 5 kuna dushelele...lol
 
Mwahahaha ....huyo naamini halalami kuwa hamjui mahaba :]

Ongeza na zawadi tu ndogo ndogo sio blackberry lakini 😛
 
ha haaa gee lol
i miss those days when blackberry and apple were just fruits lol

"Baby I want an Apple" .......jibaba unajibebesha fenesi hasa kuonyesha una care au pakacha zima la matufaa, tena ukidhani kuwa labda mimba tayari.

Hahahah kumbe mwenzio anafikiri mengine
 
exactly

mwanamke wa kizungu ukinunulia ua ni jambo kubwa saana
wa kiafrica ua sio jambo kubwa,jambo kubwa pengine umnunulie nguo au gunia la mchele hivi
au utangaze ndoa kabisaa lol
kweli kabisa, ila unakuwa unafurahi ndio akileta maua,ila akija na mchele unafurahi zaidi
 
mimi ni mchele kigunia

na kuku wawili wazima,nakuja nao nimewapakata kulia na kushoto huku wanalia lia hivi....

taratiibu najivuta kwa mamsap lol maua hata bei sijui lol
We unafaa, ila maua na zawadi tunapenda pia, ila sio kama hizo kuku the boss, tena hapo ndipo penyewe haswa, unanichinjia mie nanyonyoa huku wewe uko kwa pembeni, ndio tulivokuwa tunafanya kule kijijini, kuja mjini tumebadilika tunataka maua lol
 
mimi ni mchele kigunia

na kuku wawili wazima,nakuja nao nimewapakata kulia na kushoto huku wanalia lia hivi....

taratiibu najivuta kwa mamsap lol maua hata bei sijui lol

Kunua maua tena????

Kwani maua yanasaida nini? Ni viuongo vya pilau au maini ya kutengeneza diko diko??

Huku kuiga kutatua nyongo!!
 
Tatizo ukilinganisha sana ndio unajikuta unaona nani ni best, mie pia
kuna mambo naona kabisa watu ni ya kuiga sana kama hilo la
kupiga magoti na kuomba mkono wa ndoa, ile ni mila yao, wanafata
na sie bila hata kuuliza ina maana gani utakuta jibaba la kibongo
eti nae anaiga hiyo, mie kwanza ukipiga tu goti natoka mbio, nitaona
aibu hata sielewi

Wanaume wetu wa kibongo wanajua sana mapenzi in their own way
kazi kwao wanaolinganisha na kina tom cruise

Una akili sana wewe! Kitu ngozi nyeusi bwana maloveeeee kwa kwenda mbele, hahahaaaaaaaaaa, mweeeeeeeee!
 
The Boss

nafikiri at the end of the day inategemea huyo mwanamke unayem-date au kuishi naye

kwa wanawake wenye uwezo wa pesa au mko nje ya nchi, ukinijia na kuku au mchele nakutimulia mbalini. aggggrrrrr .............

mwanamke anaeweza kujikimu kimaisha hahitaji zawadi za aina hiyo, anahitaji zawadi 'sentimental things' zaidi. A diamond ring, a mini cooper or chocolates and perfumes will do, thank you very much :]
 
Mzee DC, nitajaribu kukumbuka lakini point kubwa iliyokuwa inazungumziwa kule ni kuwa romantic kwa maana ya kuwa katika kujiandaa kwa tendo wanaume wa kibantu wao hawachukui muda mrefu kumuandaa mpenzi wake kabla ya business..............point moja ambayo aliitoa kaka mmoja alisema hii yote inategemea tunavyoidefine ile kuandaa na ingredients tunazoweka ili mtu aandaliwe. Aliuliza kina dada mnataka mfanyiwe nini ili muandaliwe vya kutosha,, ichukue muda gani ili mjione kuwa muda muafaka umetumika kwa ajili ya kuandalia. Alisema tusiige vya wazungu ambao wao wanahitaji kuandaa toka asubuhi kwa kuwa wao hawana jinsi kutokana na mila na desturi au utamaduni wao. Alieleza mf. kwa mwanaume wa kizungu ambaye kwa culture yao wanawake wao ni kawaida kuvaa nusu uchi huku maungio yale ya kutamanisha yamezoeleka machoni kwa mwanaume, ni lazima extra nguvu na time itumike ili kumuandaa mdada (hii inajumlisha kuandaana toka asubuhi, kikiss kwa muda mrefu tena kila pahali ili mradi tu hisia zivutike na mazingira yaruhusu.

Hii ni tofauti kwa mwanaume wa kibantu ambaye hakuzoea kuona maungo yake yanayoamsha ashki mapema yakiwa nje nje tu kiasi kuwa the moment anapoyaona anakuwa aroused na hivyo kumtaka avumilie ni kumwonea bure. Yeye kwa tamaduni yake ni kuwa akiliona lile nofu la juu ya goti, anahema, akiligusa ndo unammaliza kabisa huku silaha ikiwa tayari (nasikia huwa wanapata maumivu flani kama shinikizo linakuwa kubwa kwa muda mrefu bila kupozwa - mi sijui bana). Na isitoshe wabantu (wadada tumejaaliwa ile rangi na mvuto wa yale maeneo ya sitiri kulinganisha na wenzetu wazungi ) Sasa unapoanza kumtaka mkaka wa kibantu achukue muda mrefu kukuandaa wewe mdada wa kibantu wakati ulishamuarouse ni kumwonea.

KwWenye mengine ya kawaida mfano kununua maua, kununua card alichosema ni kuwa si sehemu ya tamaduni zetu

Jamani muwe na usiku mwema, mie ni Mtanzania halisi, kukosa umeme ndio kitambulisho changu.

Kuna muscle inaitwa cremaster (Cremaster muscle - Wikipedia, the free encyclopedia), inaunganisha shaft na machungwa...Huwa inauma sana hadi unatamani mama yako mzazi aje kukubembeleza!!
 
nihurumieni mbavu zangu jamani, mnaweza kuwa mnacommit mANSLAUGHTER KTK MAZINGIRA YA FURAHA BILA KUJIJUA WAKUU. Niacheni nikalale duuuuu!
 
The Boss

nafikiri at the end of the day inategemea huyo mwanamke unayem-date au kuishi naye

kwa wanawake wenye uwezo wa pesa au mko nje ya nchi, ukinijia na kuku au mchele nakutimulia mbalini. aggggrrrrr .............

mwanamke anaeweza kujikimu kimaisha hahitaji zawadi za aina hiyo, anahitaji zawadi 'sentimental things' zaidi. A diamond ring, a mini cooper or chocolates and perfumes will do, thank you very much :]

Nakuelewa sana Gai, na points zako zinafanya huu mjadala unakuwa mtamu,

Kama tunaishi Ulaya au Amerika, sitaona taabu kufanya hayo unayoyasema. Tatizo linakuja pale ambapotunaishi Tandika na bibi anataka nimfanyie mambo ambayo anayaona kwenye Egoli au Sunset Beach!

Kama ni kuigiza tu nitafanya ila kutoka moyoni sioni kabisa kama inalipa.....

Anyway, mapenzi ni usanii ingawa sasa tunataka kuzidisha!
 
Back
Top Bottom