Hahahahahaha Mzee DC usikimbie bana wewe mwenyewe ndo umeanzisha!!Hapo sisemi kitu, ngoja wazee wenzangu waje kuni-rescue!
K!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
MJ1 si bora kikwapa? nimesema K bana tena in capital letters,lol!!!!!!!Eh? Kikwapa? Bishanga? lol
Hahahahahahahahahhahahahahah,
Kwa hiyo mkuu umepiga kunji!!!!
Huu mchanganyiko wa generations na media ni hatari sana!!
mmmmmhhh nini Ikunda?mmmmmmmm
we acha tu,tabu kweli kweli,wengine nasikia wanalazimisha na kununa hasa wale kina mama wenye ukwasi ambao wananunua viserengeti boyz. Ila nasikia vijana wa kizaire hao ndo funga kazi masaa mawili kibo peak marangu mtoni,kibo peak marangu mtoni,kibo peak marangu mtoni.........
Ukisikia mlio jua risasi imekukosa!
DC inawezekana kuna watu wameshagusia hapo, but sidhani kama kuna vigezo vinavyotumiwa ku-judge kama mtu anajua mahaba au la kwa sababu mahaba yanatofautiana from one woman to another. Kuna wanawake wengine ukiwapeleka kwenye movies ni mahaba, wengine wanaona ni kuboana tuu. Kwa wanawake wengine kuwa kissed in the public ndio mahaba. Mwingine anaona kumwandalia dinner on the beach ndio mahaba.
Mazingira, tamaduni na dini nazo zinachangia. What is romantic in America many not be romantic in Saudi Arabia au Tanzania and vice versa. Kwa wanawake wengine wa Kiafrika as long as the man is taking care of his responsibilities as a man (African man) at home like taking care of the children, has a very lucrative job, good money and is respectful, then that itself is romantic. Still wapo wengine wanadai wanaume ni romantic by nature na kinachotakiwa ni traning tuu to get the romance out of them. Wanawake wengine wanasema a romantic man must be bold, brave and noble. So what is romantic differ from one woman to another.
Nafikiri tatizo hapa tunachanganya kati ya romance and affection probably na flirting. Kuna rafiki yangu aliniambia kuwa her "boyfriend is extremely romantic. We can just sit home and just cook together or watch a movie, he loves to rub my feet or sit while I scratch his back, we love to snuggle." Nilipomwuliza whether he was actually being romantic or just affectionate akaanza kijichanganya. Kama kuna romance, kutakuwa na some affection, lakini affection inaweza kuwepo bila romance.
Wanaume wa Kiafrika wanaweza kuwa romantic (depending on how a particular woman define romance) lakini baadhi yao sio affectionate kama wanawake wengine wa Kiafrika wangependa. Kuna forum nyingine mdau aliandika: "African men are romantic to women who appreciate romantic life. But most of our women have put a price tag on love affairs. They mistake spending on them as being romantic."

...hehehehe....e bana umemaliza kila kitu...ATM, kuchunwa, buzi.....
ngoja wenyewe waje kupinga hapa.
wakati huo huo na mimi na swali kwa wanaume wenzangu;
kuwa romantic maana yake nini?
1. ?
2. ?
3. ?
Hahahahahahh umemaliza shemeji yangu. Lizzy haitaji presha hapa. Ghobyala mayo ghobyala ghawiza, alikwing'ombe ghobyala ghawizaa eh.According to klorokwin: Kuwa romantic ni kujenga mazingira ya mapenzi ambayo yatamfanya mwenza wako kila wakati ajiskie raha na furaha kuwa karibu yako. Hii inajumuisha majukumu, uchokozi, utundu, Uhashuo (source:gaijin), SRM nakadhalika nakadhalika.
Romantic gauge: Ukitaka kujijua how romantic u are kwa mwenza wako jaribu kumuaga unaenda safari, huzuni yake ukiondoka na mawasiliano yake wakati upo safarini yatakujulisha ni kiasi gani umefanikiwa kuwa romantic kwake.
Ukiona umemuaga waifu, halaf waifu linafurahia na ukiondoka tu limezima simu na ukirejea safari waifu limenenepa ujue romantic gauge yako iko zero au minus. (Dedicationa yako ni wimbo wa "samaki pole")
Nimemaliza
Umeona eeh? halaf washkaji zake babu DC wanatwambia hatuko romantic. unajua udaku hata ulaya pia uko, yaani Lizzy ndio alipaswa kusema siko romantic na sio hawa washkaji zake babu DC.Hahahahahahh umemaliza shemeji yangu. Lizzy haitaji presha hapa. Ghobyala mayo ghobyala ghawiza, alikwing'ombe ghobyala ghawizaa eh.
Nahene lolo, bhebhe ang'u
Mkuu hii mada ina complication yake ambayo ni ngumu sana...!
Suppose your GF/BF told you that "you are so hot"....! Or "you are so tight"....! Definitely these are encouraging words, and some of the words most of us do want to here from their partners...! But, if you try to take a little bit time to think on this, there must be a hided thought...! Because if you are hot, would you ask that you are hot in relation to whom? To whom comparison did your partner make with you to justify that you are so tight?
Kwa hiyo kwa mtazamo wangu, pamoja na vitu vingine, akishasema hivyo, basi ni muhimu angesema wanaume wa Kitanzania amewalinganisha na wanaume wa nchi zipi....! Na kama ni wanaume kutoka kila nchi duniani, basi yeye mwenyewe hafai tena, na ni vema pia akasema basi wanaume hao wa Kitanzania wameshikilia nafasi gani duniani, nchi gani ni ya kwanza, na ipi ya mwisho....!
NB: Tafadhalini sana, sio kila sifa hutolewa...! Maana waweza kuulizwa maswali usiyaweza kujibu...!
According to klorokwin: Kuwa romantic ni kujenga mazingira ya mapenzi ambayo yatamfanya mwenza wako kila wakati ajiskie raha na furaha kuwa karibu yako. Hii inajumuisha majukumu, uchokozi, utundu, Uhashuo (source:gaijin), SRM nakadhalika nakadhalika.
Romantic gauge: Ukitaka kujijua how romantic u are kwa mwenza wako jaribu kumuaga unaenda safari, huzuni yake ukiondoka na mawasiliano yake wakati upo safarini yatakujulisha ni kiasi gani umefanikiwa kuwa romantic kwake.
Ukiona umemuaga waifu, halaf waifu linafurahia na ukiondoka tu limezima simu na ukirejea safari waifu limenenepa ujue romantic gauge yako iko zero au minus. (Dedicationa yako ni wimbo wa "samaki pole")
Nimemaliza
Umeona eeh? halaf washkaji zake babu DC wanatwambia hatuko romantic. unajua udaku hata ulaya pia uko, yaani Lizzy ndio alipaswa kusema siko romantic na sio hawa washkaji zake babu DC.
wameniuzi kweli