Shantel
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 2,018
- 1,132
Mhh ashadii anajua hili, ila wa hivo si unawajua kwenye uchumba tu kaizer, au walikuwa wanaficha makuchaMi nishawapaga talaka watatu kwa sababu hii hii....
Mhh ashadii anajua hili, ila wa hivo si unawajua kwenye uchumba tu kaizer, au walikuwa wanaficha makuchaMi nishawapaga talaka watatu kwa sababu hii hii....
Jana nimesoma makala ya Freddy Macha kwenye gazeti la Mwananchi iliyokuwa inaongelea mijadala inayoendelea kwenye mitandao mbali mbali ikieleza kuwa wanaume wa Kitanzania (na labda Waafrika wote) hatujui mahaba (romance)!
Nimeguswa sana na makala hiyo. Si kwa sababu napingana na hoja za hao wanaosema hivyo, bali nina wasi wasi kwamba vigezo vinavyotumiwa vinaweza kuwa siyo sahihi.
Inawezekana hii mada ilishajadiliwa hapa pia, ila naomba tu kupata maoni ya wadau wa jukwaa letu hili tukukufu kuhusiana na issue hii.
1. Ni kweli wanaume wa Kitanzania hawajui mahaba??
2. Kama hawajui, ni kosa lao peke yao au na wenzi wao (wanawake)???
3. Na vigezo gani vinatumiwa ku-judge kama mtu anajua mahaba au la?
Naomba maoni yenu!!
Babu DC
Mhh ashadii anajua hili, ila wa hivo si unawajua kwenye uchumba tu kaizer, au walikuwa wanaficha makucha
Huh, wali wa nazi waujua weye, je samvu la karanga kwa ugali??bora kama anajua maana asijepata sapraizi humu, maromance ya kibongo bibi mbele bwana nyuma wakitembea hakuna kukaribianaSweetie wangu analijua hili Shantel...hapo ilikuwa wakati wa uchumba kabla sijamwoa bibie...sasa hivi nala wali wa nazi kwa raha zangu...maromance ya KIBANTU kwa sana tu....upo hapo....(siku hizi eti wanasema 'samaki hana rivasi')
au unaongea kwa sauti laaini huku mdomoni unatafuna ncha ya miwani
na mrembo anakutazama kwa tabasamu hivi lol
ahaaa.....:whistle:
Mwalimu ,
Muhimu sio wao kuita romantic au la, nadhani muhimu ni kuwa je ni actions gani wanatumia kama vigezo vya mazingira ya kufall/kunogesha mapenzi kwao ?
Hawa jamaa The crazier u behave, the more attractive and sexier u become.
heheheeh, Hata sex yao ni balaa tupu, unaweza ukalembewa bonge la kibao katikati ya mchezo shavu likavimba ,ukazani umekosea stepu kumbe ndo romance zenyewe. Khaaa!
Wapi taliban auKabisa ndugu yangu, nimeona hapa nilipo kufanya mapenzi lazima mpigane makofi kwenye makalio au mgongoni, tena kibao chenyewe cha nguvu sana... mara ya kwanza nilifikiri labda nimekosea na nilihamaki sana! baadaye akanielezea kuwa ni jambo la kawaida kabisa... halafu lazima uwe craizy katika sex, sio kama nyumbani. Huku mnaanzia jikoni mnaviringishana mpaka utakapo malizia mambo yenu... hapo kusiwe na kitu karibu maana lazima utapigwa nacho. huku hakuna sex zaidi ya fujo tupu.
Kila mtu amfanyie mwenzakeSaraM,
ishu hapo ni nani anajitoa kufanya mambo ambayo yangetakiwa yafanywe na wawili kwa pamoja
mtihani ni kufahamu ni nini dhamira ya kujitoa kwa mwingine
Unajua mnapoanza mapenzi, kila mtu mara nyingi anatambua nini kapenda kwa mwenzake, na maneno pia yaliyowavuta pamoja, sio wakati mnaanzana ulikuwa unamwambia nakupenda a thousand times kwa siku, then ije kuisha kabisa mpaka unauliza mpenzi unanipenda kweli, then njemba inakujibu"unauliza jibu" muendeleze yale yaliyowafanya muwe pamojaSaraM.......hun hapo kwenye kuonyesha ndio panapokanganya watu. Mapenzi yanaonyeshwaje ili mwenzio umdefine kama romantic? Maana kwa mwengine akipigwa ndo kaonyeshwa mapenzi lol, akionyeshwa wivu basi anapendwa lakini hivi ndo vigezo vya u-romantic wa mwanaume?
Mzee DC leo, umenichosha akili yangu kungali asubuhi
its complicated......
ukiwauliza wadada wa kenya na uganda watakwambia wanaume wa tanzania ndo best.....
heeee unaweza kuduka mwisho wa mechi sehemu haziko zimenyofolewa, mapenzi gani hayo, mambo slow but sureKabisa ndugu yangu, nimeona hapa nilipo kufanya mapenzi lazima mpigane makofi kwenye makalio au mgongoni, tena kibao chenyewe cha nguvu sana... mara ya kwanza nilifikiri labda nimekosea na nilihamaki sana! baadaye akanielezea kuwa ni jambo la kawaida kabisa... halafu lazima uwe craizy katika sex, sio kama nyumbani. Huku mnaanzia jikoni mnaviringishana mpaka utakapo malizia mambo yenu... hapo kusiwe na kitu karibu maana lazima utapigwa nacho. huku hakuna sex zaidi ya fujo tupu.
Haswaaaaa umeona eeeeeMwanaume shurti aje na mchele na mapochopocho sio maua, na awe na taste za kiafrika, mauzungu mie siyapendi
oooh bby this bby that tooooooo fake
aaagh nimekimbilia kufungua hi nikajua unauliza ile viwili au kimoja au vitati tunatumia kipimo gani ku quantify kumbe we unaongelea sijui manini..aghhh
Unajua mnapoanza mapenzi, kila mtu mara nyingi anatambua nini kapenda kwa mwenzake, na maneno pia yaliyowavuta pamoja, sio wakati mnaanzana ulikuwa unamwambia nakupenda a thousand times kwa siku, then ije kuisha kabisa mpaka unauliza mpenzi unanipenda kweli, then njemba inakujibu"unauliza jibu" muendeleze yale yaliyowafanya muwe pamoja
Mwanaume shurti aje na mchele na mapochopocho sio maua, na awe na taste za kiafrika, mauzungu mie siyapendi
oooh bby this bby that tooooooo fake
Dc unanipenda kweli???Wewe Sara,
Huwezi kukimbia marathon kwa pace ile ile....Mwanzoni lazima ukamue sana ila huwezi ku-mantain hiyo speed wakati wote!
Hata hivyo, wanaume wengi (nikiwamo mimi) hawapendi hayo maswali ya ajabu ajabu.."eti, unanipenda kweli sweeie wangu DC"? Hilo swali linakera sana na kama kuna uwezekano sitasema kitu...!
du, kwa hiyo mahaba anayapima kwa plasma sioThats my gal! hii kuiga iga inatukosti sana aisee! kuna familia niliwahi kuishuhudia , kijana alinikabili kuniambia kwamba waifu wake amemtaka wabane matumizi mpaka ya msosi na huduma za watoto ili wapate Plasma TV, na ahadi ya waifu kwa hazbendi ilikuwa ni kwamba hapo ndio ataamini kuwa mume wake anampenda! alitaka ushauri but sikumshauri kwavile nilijua effect ya ushauri wangu ingeharibu romance za watu.