Eti hatujui... kipimo gani kinatumika?

kwa maoni yangu sidhani hakuna formula yoyote ya romance. it depends on how your translation of the word romance is all about. different people have different ways of doing it depending on different situations and places.
 
Haaaaaaaa mpenzi,

Kwani wewe huoni? Nakufanyia kila kitu kama malaika halafu kweli unauliza swali kama hilo??
Loo afadhali, nilifikiri utaniambia , nauliza jibu, hahahaha kweli kabisa kila kitu napata hayo ndio mahaba
hata kama huleti maua
 
Loo afadhali, nilifikiri utaniambia , nauliza jibu, hahahaha kweli kabisa kila kitu napata hayo ndio mahaba
hata kama huleti maua

Hahahahahaha,

Siku hili swali likipata jibu chap chap au kirahis ujue kuna jambo...Ama mtu anataka biashare iishe aende zake au hataki vuvuzela...

Ni ngumu sana kulijibu kwa sababu huwa linakuwa na mitego mingi!!

Sikumbuki kama nilishawahi kulijibu katika maisha yangu yote!!

Haya mahaba yana taabu kweli...Uzuri ni kwamba tutafika jioni na jua litazama...Hapo ndiyo mwisho wa kuku kuzurura nje na kucharura charura!
 
hahaha kweli kabisa au mtu ukisema i love you, eti hata simu hukati unasubiria jibu, wakati jibu unalijua, marudio marudio haya nayo yanaboa sana
 
Upo kaka mbona kimya sana kwenye hii thredi haaaaaaaaaaaaaaaa namwona dc tu na mwanajamiione lo!
hili sredi sijui limeshafikia tamati au bado linaendelea.

Sijui odm alikuwa wapi likampitia yailahi toba.

Mwenye kujua kama odm anajua kufanya romance ni mama matesha. Huyo anayejenerolaizi kwa watanzania alishamegwa na vijana wote wa kitanzania? Mzee mwenzangu hebu naomba umuulize huyo mtu. Mie sina contacts zake!
 
Dah kwani nilikuwa nimefumba macho hii thread sijaiona. DC huyo anayewasema wanaume zetu wakitanzania hawajui mapenzi atukome kabisa tungekuwa tunalala nao na kuzaa watoto. Wanajua mapenzi sana tena nawafagilia kwa sana
 
Masoko hah Babu kasema yeye na bibi huwa hawaambianagi haya makitu so hajui kama yuko romantic au hayuko!

Wee acha tu....!!! Yaani tumeishi hadi miguu imeota kutu na nywele zimeisha kichwani...wajukuu hao wanatuimbia nyimbo kila dakika. Halafu tunaelezwa kuwa hatujui.....Ni kesi kubwa tu na laiti ningejua hakimu wa kunisaidia ningefungua kesi ya madai kwa wote wanaodai hatujui!!

Dah kwani nilikuwa nimefumba macho hii thread sijaiona. DC huyo anayewasema wanaume zetu wakitanzania hawajui mapenzi atukome kabisa tungekuwa tunalala nao na kuzaa watoto. Wanajua mapenzi sana tena nawafagilia kwa sana

Halafu wewe ulikuwa wapi???

Hayo mahaba ya kufungiwa ndani kama kigoli nayo si mazuri kabisa....Naamini wewe si wale wanaodai kuwa bila kununuliwa TV 32" Flat screen hakuna mahaba..LOL!!!
 
watu wanajua mambo bana! aliyeandika hiyo makala ndo hajui.

Mkuu hebu eleza kidogo grounds za utetezi wako....

Ndo hivyo, tumesharushiwa bonge la tuhuma kwamba kwenye mambo ya malavi lavi tuko watupu!!!
 
Haaaaaaaaaaaaaaaa eti hawajui romance mwanajamii mi nakubaliana kabisa na dc gunia la mkaa kuku na bata dume likiongezeka mbona full mahabati maana mpaka watoto wanafidi mahaba indirect lo!ongeza na korosho pale kibaha kama ndio unatokea mbeya mweeeeeeeeeeeeeeeeee
masoko hah babu kasema yeye na bibi huwa hawaambianagi haya makitu so hajui kama yuko romantic au hayuko!
 
We Dena na Mzee DC msichanganye mayai na machungwa kuzaa na mtu si kipimo cha kuwa anajua mahaba! Kuna Watu wanazaa kutokana na kubakwa na wapenz/ wenzi wao lol
 
Haaaaaaaaaaaaaaaa eti hawajui romance mwanajamii mi nakubaliana kabisa na dc gunia la mkaa kuku na bata dume likiongezeka mbona full mahabati maana mpaka watoto wanafidi mahaba indirect lo!ongeza na korosho pale kibaha kama ndio unatokea mbeya mweeeeeeeeeeeeeeeeee

Masoko so na mamsap kukupikia chakula, kukufulia si ni full maromansi eh?
 
Mahaba yapo tz(au ilikuwa zamani)...ila uchakachuaji au usasa unayaangamiza...tuna shida ktk mawasiliano-mapenzi sasa.. tena kubwa sana tuwe wakweli..hatuchagui maneno...mahaba yanajengwa na kauli(maneno mazuri),vitendo(vijizawadi,macho ya huba,furaha nk)...na hasa vikifanywa mapema..
 
Kwani na ww unategwa?hapo naelezea ukweli, kwa mfano eti kuna rafiki yangu kaachana na bf wake, kisa anaona shida anapoongea kiswahili wakati wa majambo, nikamshangaa sana, mie napenda full kiswahili,wasichana tunatofautiana

Jamani kule unaongea nini kama sio upashkuna au ushankupe? Tatizo wanaume wengi wa hapa wataongea ila end of the day kazi kwao. Sisi tulivyofundwa ki ukweli mimi sikufundishwa kula koni, pipi mti etc.Nilifundishwa kufua, kupika, Sasa watoto wa DOTCOM, wanakula koni kisa wameona kwenye TV, hawa wandugu zetu msiotosheka mnaenda kutest zali ukirudi nyumbani umepagawa, hushikiki matusi kedekede kuwa mimi mshamba sasa tatizo la nani hapo? Kwa utu uzima wangu huu nijifunze kufanya vitu ambavyo kwangu naona hamna faidai ili kukuretain wewe? Who is responsible wandungu?

Michosho tu! mapenzi ukiyatafakari hakuna anayemtosheleza mwenzio tunaishi kwa mapenzi ya Mungu! we better keep that.
 
We Dena na Mzee DC msichanganye mayai na machungwa kuzaa na mtu si kipimo cha kuwa anajua mahaba! Kuna Watu wanazaa kutokana na kubakwa na wapenz/ wenzi wao lol

Mhhhh...Sasa na wewe unataka kutoa mpya,

Hivi inawezekanaje uzae watoto (siyo mtoto) na mtu yule yule kwa kubakwa??? Halafu ukae naye mpala mnaona wajukuu!!

Bwana hapo mahaba yapo hata kama siyo kwa vigezo vyenu!!
 
Masoko so na mamsap kukupikia chakula, kukufulia si ni full maromansi eh?

Bwana ni mahaba sana akiwa anakufulia na zile nguo za kutunzia resources!!

Bila mahaba nguo zinaweza kuwa zinatupwa kwa beki 3 na zinaishia kupauka kama za wapiga debe...Ila mahaba yakiwepo, nguo special za mzee DC zinafuliwa na Mama DC...Halafu zile kufuli zote anafua na kuweka JIK panapotakiwa. Hivi jamani mahaba gani tunataka??
 
Back
Top Bottom