Eti hatujui... kipimo gani kinatumika?

Eti hatujui... kipimo gani kinatumika?

DC

Narudia hayo yanaweza kuwa ni mahaba ila hayawezi kuwa romance kamwe

Ahsante sana
 
Tatizo ukilinganisha sana ndio unajikuta unaona nani ni best, mie pia
kuna mambo naona kabisa watu ni ya kuiga sana kama hilo la
kupiga magoti na kuomba mkono wa ndoa, ile ni mila yao, wanafata
na sie bila hata kuuliza ina maana gani utakuta jibaba la kibongo
eti nae anaiga hiyo, mie kwanza ukipiga tu goti natoka mbio, nitaona
aibu hata sielewi

Wanaume wetu wa kibongo wanajua sana mapenzi in their own way
kazi kwao wanaolinganisha na kina tom cruise

!! umenena !!
 
Hivi hata mimi na mzee mwenzangu tunategemewa kufanya hayo??? Na kama tukipiga story za vitega uchumi tunavyoandaa kabla ya kustaafu na kumalizia kwa kukumbushana enzi za ujana wetu hayo hayakubaliki??
Sasa DC ukishaongelea mambo yenye tention kama kustaafu(tz!?)...hapo ni kutafuta kushindwa mapema...mtu mzima mahaba ndo nyumbani, hana papara..tartiibu..wakikumbushana hisani....'kumchinja ngamia kuna dua na utulivu wake'...DC mahaba hayana uzee ndugu yangu..
 
Sawa ndugu yangu,

Mimi nilidhani kwamba ukizeeka basi na mambo ya mahaba unayafanya kizee kizee...The style can't be the same as that of teens and young couples au nakosea??

Sie wazee twakaa na kujiotea moto huku tukiwasilimua hadithi wajukuu ili wapate usingizi mapema na kutupisha...Ukizingatia kuwa jioni hiyo babu anakuwa amerudi na bata dume mkononi, gunia lake la mkaa, kapu la mihogo na tenga la nyanya masala!!

Is that not romantic bandugu???
 
Swadakta!!!!!
 
DC..u can differ on how to exercise mahabat..but its defn. will be the same...na nilivomuelewa gaijin not necessary at all kujitwisha hiyo mifurushi eti ndo mahaba...mahaba na penzi are same..how
tumsubiri gaijin.
 
Kaka DC hii thread yaonekana ni worth kupitia...
Sasa hizi page hizi... Ngoja nijipange.. na nizivutie pumzi.

Habari yako lakini...
 
Hivi ulikuwa wapi na wewe?????

Babu ni mzima saaaaana, yupo anashuhudia meno yake yanapukutika kama kumbi kumbi!!!

Tulikumiss sana na mbaya zaidi...mchango wako ambao ungeweza kuokoa majahazi ya watu yaliyokuwa yanakaribia kuzama....!!

Hivi kweli dada yangu, mtu umeishi na mama DC hadi mmeona wajukuu; hapa tunasubiri vitukuu....halafu mtu mmoja ambaye sitaki kumtukana bure anatokea huko anakokujua mwenyewe analeta za kuleta, eti....hamjui mahaba!! .....Ni haki kweli mdogo wangu???

Nashukuru Mungu wadau wamesaidia sana watu kuishi kwa matumaini kwamba si tu kuwa wamethubutu, bali pia wameweza kuyadadavua mahaba na sasa wala pensheni!!

Kaibu sana..........!!
 
Hapo kama umenitega kiaina... I wish nipitie humu ndani then nione ni yupi hasa kakuboa... Labda tu niseme kua kama umefikisha Miaka kibao na mkeo hadi vitukuu then that means MAWILI

  • Kua kuna mahaba mazito humo ndani ambayo wewe na Mamaa woote mwayafurahia... Mmesha somana na mwajua kila mmoja anapenda nini ili afurahi, au ni jinsi gani wewe ama yeye utoe hayo mahaba kwa mwenza wake. (Take note kua mahaba fulani kwa wengine huweza onekana kero hali hio kero ikawa mahaba kwa wengine)
  • Kua hio ndoa haina mahaba na woote hamna habari wala hamjali madaam mnaishi kwa amani na kupata kile roho inapenda pande zoote mbili. Maana kuna wenza kwa observer waweza ona kama wale vipi mbona hata hawaoneshi kua wapendana?? Kumbe wao wenyewe wameridhika kabisa na waweza kushangaa wakikusikia.
Mzee DC mambo kidogo yalinibana but namshukuru Mungu mambo yaenda mwanana. (na ofcourse niliwa Miss pia)
 
Babu DC huyo ndo Asha...umemtega naye amekufumba...msome vizuri mdada huyu...tunatofautiana ktk kuyadefine haya mahaba... Bado kubeba mikaa, majogoo na mihogo naona ni wajibu ktk ndoa tu...jibu kwa fred macha na wenzie lilikuwa mahaba huku kwetu yapo ila yana staha zake-hayaonyeshwi hadharani(sisi sio mbwa)...ndo utakuta baba na mama wakiingia ndani na kuonyeshana huba..waimbiana mashairi,kumbatiana,kutekenyana,kubembelezana,kubebana,vicheko,kucheza,kulishana nk wanakuwa dunia yao kabisa...hapo watoto huulizaga mbona baba na mama mnalia...'aah wenetu tumepata taarifa ya msiba!' Babu DC haya ndo mahaba ya kwetu
yamejaa staha na ni ya ukweli huonyeshwa faragha ktk dunia ya wawili tu..
 
Moria wee ndo ulimkwaza DC nini?? lol... (naomba niambie page na post # please) Nitasoma the whole thread lakini sio sasa... But hata hivo bana ukalete mikaa, majogoo na mihogo u-define as mahaba?? Huo utani sasa... toka lini mkaa ambao kila siku unatumika ndani na watakiwa ulete whether you like it or not iwe mahaba... Ukiniletea mkaa nitajua unataka uhakikishe nisikose kukupikia chakula; Hivo bana kweli hio ni obligation....

My definition ya mahaba .... sijui nisemeje hapa... For kila jamii, kila couple ina mahaba yake ambao kwa wao huona kua ni mahaba. Kikubwa tu Mahaba hujitaji originality kati ya wawili yasiwe ya kujifanyisha... For yakujifanyisha believe me you lazima utachoka. Na uki-observe hilo suala la mahaba ya hadharani... mbona yapo kabisa hapa katika jamii zetu, watu waoneshana mahaba mpaka observers mwavutiwa na kuona kweli hii couple inapendana - ila tu kama ulivosema yana staha yake, maana bana mahaba hayashikiki but yaonekana thou kuonekana kwa mahaba kati ya wenza siio mpaka shikane, tekenyana, busiana mbele ya hadhara (thou yafanyika hii hua in small circles mijini - thou mara nyingi hulenga kuonesha the audience mo' than the need ya mafilingi yenyewe).... Mie hapa nazungumzia mahaba ya kiutu uzima... ambayo hata jamii haiwezi washangaa na wala hayawezi onekana ya kuiga....
 
ADii na Moria,

Mmenieleza meeengi sana, na ni mazuri sana.

Hizi salamu ndio nitafikisha kwa bibi yenu,........"Mahaba yana staha yeke"!!!!

Mubarikiwe sana na muitunze, kuithamini na kuienzi hiyo staha ya mahaba ili tusionekane wehu!!
 
Moria wee ndo ulimkwaza DC nini?? lol... (naomba niambie page na post # please) Nitasoma the whole thread lakini sio sasa... But hata hivo bana ukalete mikaa, majogoo na mihogo u-define as mahaba?? Huo utani sasa... toka lini mkaa ambao kila siku unatumika ndani na watakiwa ulete whether you like it or not iwe mahaba... Ukiniletea mkaa nitajua unataka uhakikishe nisikose kukupikia chakula; Hivo bana kweli hio ni obligation....

My definition ya mahaba .... sijui nisemeje hapa... For kila jamii, kila couple ina mahaba yake ambao kwa wao huona kua ni mahaba. Kikubwa tu Mahaba hujitaji originality kati ya wawili yasiwe ya kujifanyisha... For yakujifanyisha believe me you lazima utachoka. Na uki-observe hilo suala la mahaba ya hadharani... mbona yapo kabisa hapa katika jamii zetu, watu waoneshana mahaba mpaka observers mwavutiwa na kuona kweli hii couple inapendana - ila tu kama ulivosema yana staha yake, maana bana mahaba hayashikiki but yaonekana thou kuonekana kwa mahaba kati ya wenza siio mpaka shikane, tekenyana, busiana mbele ya hadhara (thou yafanyika hii hua in small circles mijini - thou mara nyingi hulenga kuonesha the audience mo' than the need ya mafilingi yenyewe).... Mie hapa nazungumzia mahaba ya kiutu uzima... ambayo hata jamii haiwezi washangaa na wala hayawezi onekana ya kuiga....
Barabara ADii
 
Hi, Mr. Dark City, lile swali lako nitalijibu later, sijalikimbia, ni haka kaphone ninakokause kalileta kamtafaruku kakawa kanazingua kuwork vizuri.
 
Poa, ukipata nauli basi uje kumsalimia babu DC na kutupa majibu,

Sawa Nat???
 
Back
Top Bottom