klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Hoja hii imesimamiwa vizuri na DC pia.
Basi tukubali kuwa Mtanzania si romantic by nature ......lol ...kwa sababu wanaotetea bado hawajatu convince kuwa wanavyofanya ni romantic.
Inawezekana ikawa tatizo ni kuwa tuna define romance kwa mentality ya Magharibi ndo maana.
gaijin
hili la njaa ya mchumba kuwa halituhusu wakati wa kuchumbiana
linahitaji thread yake peke yake aisee lol
Zisije kuwa zile za kuigiza mpaka mwenzako anaona aibu, yaani wanaume waigizaji wananiudhi, hata utamwona amekaa mahala na mpenzi wake anataka kufanya mambo ya kwenye movie, kasahau wenzake wamelipwa pale,
Hehehehe Kamanda sie wengine tuligundua kitambo, ila kusema laivu tu ikawa ndio tatizo.
Hivi wewe Mbu unatokea dunia gani???? Baada ya kugawa dozi kazi ya mwanamume imefikia kikomo.....Ni jukumu la mama kushukuru kwa chakula murua na kuanzisha hadithi hadithi...Akichelewa unavaa suruali na kuwahi kijiweni kupiga hadithi!!
Generally, mwanamume akishatua mzigo hapendi kusumbuliwa kwa lolote....The chapter is closed till next time!!!
Naamini hawa wajukuu watazingatia maneno yangu...
now u r talking mwalim, hii post yako imekuwa ni romantic tosha kuteka moyo wa klorokwini wajameni.
The boss tuongeze maombi lol
hehehe boss hiyo utaifanyika kazi uianzishie thread yake, lakini kwangu mimi mchumba hahusiki hata kidogo na mambo yangu binafsi kama njaa, wazazi wangu, sijui karo ya shule yangu au ya ndugu zangu na mengineyo.
And even if he want to help, i wont have it....no, no, no
nilikwambia wewe sio mtanzania halisi,si unaona?
Kuna wengine binti anatumwa na mama yake kuja kutangaza shida kwa mchumba...lol
wewe unatoka nchi gani gee?lol
Loh .............asa bht Mwj1 na umbeya huu ninavyopenda kustorisha baada ya kupumzika (ndo naitumiaga kufanya performance appraisal ati - ile ya mpenzi leo ah umeniweza, hebu nambie nifanyejej siku nyingine twende sambamba jamani) si ndo ntaachika?! mwe kweli mapenzi chuo kikuu kila siku wajifunza kitu kipya.
we acha tu,tabu kweli kweli,wengine nasikia wanalazimisha na kununa hasa wale kina mama wenye ukwasi ambao wananunua viserengeti boyz. Ila nasikia vijana wa kizaire hao ndo funga kazi masaa mawili kibo peak marangu mtoni,kibo peak marangu mtoni,kibo peak marangu mtoni.........
Hehehe Boss hiyo utaifanyika kazi uianzishie thread yake, lakini kwangu mimi mchumba hahusiki hata kidogo na mambo yangu binafsi kama njaa, wazazi wangu, sijui karo ya shule yangu au ya ndugu zangu na mengineyo.
And even if he want to help, I wont have it....no, no, no
nilikwambia wewe sio mtanzania halisi,si unaona?
Kuna wengine binti anatumwa na mama yake kuja kutangaza shida kwa mchumba...lol
wewe unatoka nchi gani gee?lol
Wewe siyo mwenzetu...,
Yaani umefikia mahali ambapo uko 100% independent???
Kumbe hata hizi story nyingine tunakuboa bure........
Watu wengine wanasomesha wachumba Form 1 had university kumbe wewe hata pesa ya chips kuku hutaki???
Poa tu...Sasa umeeleweka!
Tuwe fair kwake...Hata akisema kuwa romance zake ni diamonds na Tanzanites in fair tu...
Tukiwaread between the lines basi mnasomeka hivyo, ingawa mtabisha lakini kamanda kimey ndo ashamwaga razi.kwamba ukiwa nzoba mahaba ndo yanakuwa >100%? kwamba lazima uigize uzungu ndo tuseme umekuwa romantiki?
Mimi ilibidi niirejee hii sredi tena kuanzia mwanzo mpaka mwisho na nashkuru skujutia kurudia kwangu, nadhani nimeipata pasword ya mwalimu gaijin sasa.kloro umemuona eeh?
Nashindwa hata kuendelea na kazi hapa...kumbe wamshagundua haswaaa lol
Mimi ilibidi niirejee hii sredi tena kuanzia mwanzo mpaka mwisho na nashkuru skujutia kurudia kwangu, nadhani nimeipata pasword ya mwalimu gaijin sasa.
Enhee tumefikia wapi?
DC sasa unaninyanyapaa ......lol
Sio masuala ya kuwa independent, lakini mchumba akifanya hayo yote kuna tofauti gani na mume? Si bora anioe nijue moja!
Mimi nakataa kupokea hivyo vitu kwa mchumba........akanisomeshe mchumba tena! hapana aisee
Samahani sana tena sana teacher wangu,
I really admire your attitude na haikuwa lengo lango kukuchoresha!!
Hope utanisamehe mwenzio...bado nahangaika kuokoa jahazi langu...
Hivi kwa umri huu unaambiwa huwezi, utajisikiaje?????
DC
Nakuelewa muhma uliokupata lakini hivi kwani lazima uweze hilo la ambalo hata definition kwa kwetu halina?
Wewe unaweza anayotakiwa kuweza mwanamme wa Kiafrika na as long as Bibi DC hajalalama, shida gani!
Waigizaji wa nje, yaani hollywood, kanumba nae kama wewe tu mtanzania na swaga zetu zile kibubu bubuShantel,
Mbu katuonya tusichanganye romance na sex. Hivi hapa unaongelea waigizaji wa porno au kina kanumba?