bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,883
umeona eh?
Yaani hawa wadada wanaelewa wazungu lakini sisi hawatuelewi....
Kama mahaba inamfanya mwenzio ajisikie special na tofauti......
Na kitendo cha kuja na kuku wanalia lia mtaa mzima ukiona kimewezesha hilo la kujiona special na tofauti...
Bado wanaita sio mahaba...funny ehh?
very funny aisee.....
sijui hata wewe kwa nini tu hutaki kutuelewa. ukitimiza wajibu kama baba tutashukuru (you are a responsible hubby)
but when you go an extra mile to make your partner feel as if she is in heaven (haijalishi hiyo maili ya ziada ni ipi tofauti na majukumu ya mume) hapo ndo unapokuwa romantiki sasa. nifate mtoni unisaidie kibuyu cha maji, nitanie tanie kwa manjonjo, niite majina yatakayonifnya nijiskie mi ndo malkia wa himaya yako.....aaah acha uguruguru Bosi bana! nini huelewei hapa?