Edward Ngoyai Lowassa anaumwa, alazwa ICU Muhimbili

If anyone Dislike or hate Lowassa? Very poor english grammar! Ungesema If anyone dislikes or hates Lowassa.....Kwa nini usingeamua kuandika tu kwa kiswahili? Hapa tuna kazi na lugha ya Malkia jamani, ukute hapo una digrii na upupu wote huu! Dah!
Hili ndo tatizo la mswahili akifahamu kidogo lugha ya muingereza. Anakosoa kwa kuponda kuliko hata mwenye lugha yake.
 
Acha ukuda wewe kwan wazungu wanaongeaje kiswahili?
Rubbish! Kwa hiyo ndiyo unatuletea ujinga humu! Kama hujui English kaa pembeni, siyo kuja kuleta aibu humu kwenye jukwaa la wasomi, la sivyo kubali tukurekebishe siyo na wewe unavimba na kujitutumua na upupu wako wa St. Kayumba hapa.
 
Hili ndo tatizo la mswahili akifahamu kidogo lugha ya muingereza. Anakosoa kwa kuponda kuliko hata mwenye lugha yake.

Wewe ndo mswahili hasa mana wazungu hao unaowasema hawakopeshani kwenye ujinga. Umerekebishwa the hard way so Jifunze. JF inapaswa kutusaidia. Ndo Elimu yenyewe. Kwanini achanganye lugha. Na hiyo Ni Basic english. He she it likes. Eats. Usw.
 
If anyone Dislike or hate Lowassa? Very poor english grammar! Ungesema If anyone dislikes or hates Lowassa.....Kwa nini usingeamua kuandika tu kwa kiswahili? Hapa tuna kazi na lugha ya Malkia jamani, ukute hapo una digrii na upupu wote huu! Dah!
English is just a language not a measure of intelligence! Watu kama kina Messi hadi leo kiingereza kinawapiga chenga wanaongea broken but look at where they are!

Na wala hakuna anayewacheka kwanini hawajui kiingereza ila akikosea Samatta wabongo tunamcheka kuwa hajui! Lakini wengi wa wanaomcheka wamemzidi nini na kiingereza chao!

Wabongo tuache kujiona tuna akili kisa tunajua sana kiingereza wakati wengi wa wanaokijua hakuna kinachowasaidia! Kwa mtazamo kama wako bado tuna safari ndefu sana asee!
 
Back
Top Bottom