Edward Ngoyai Lowassa anaumwa, alazwa ICU Muhimbili

Mnafiki Sana yule jamaa,EL atakua hataki hata kumsikia.
Kabisa Mkuu. Tena ikizingatiwa kwa sasa nimemuweka suspect kichwani kwangu kwa matukio mawili makubwa. Hafai Yule anakuchekea unafiki huku anakuua. Ndiyo kifimbocheza wetu kwa sasa. Mission accomplished 😊😊😊😊
 
Kabisa Mkuu. Tena ikizingatiwa kwa sasa nimemuweka suspect kichwani kwangu kwa matukio mawili makubwa. Hafai Yule anakuchekea unafiki huku anakuua. Ndiyo kifimbocheza wetu kwa sasa. Mission accomplished 😊😊😊😊
Hahah Mimi sijawahi kumkubali kabisa mkuu.Huyo sio wa kumuamini hata kwa sekunde 1.Ni Chui kwny vazi la kondoo Huyo.
 
Nami ninasubiri kwa hamu Sana JK aende. Unafiki mtupu
We! We! We! Alikwenda kwa Ben ikawa ndiyo mwisho wa mchezo. Asubiri kwanza bhana. Wako ambao watatangulia, neno la nabii Rolinga ni kwamba...
"Kama ilivyokuwa katika majira kama haya kwa mwaka uliopita ndipo hata sasa itakavyokuwa kwa mwaka huu"

Maneno kuntu hayo kutoka kwa mtumishi wa Mungu.
 
Mzee wa: Kipaumbele namba moja, Elimu, mamba mbili Elimu, namba tatu Elimu. Get well soon!
Get well soon,ila wabongo ni kama hamjui,hamfuatilii mambo duniani.

Hii kauli, aliitoa kwa Tony Blair neno kwa neno labour Conference 1996.

Education,Education, Education. Lowassa aliiga neno kwa neno. Kwa Watanzania wengi anaonekana alikuja na kitu kipya, original. Muhimu alimaamisha? kama angepata Urais, kwa sasa tumtakie afya njema,apone.

JPM alileta elimu bure bila mbwembwe nyingi. Watoto zaidi ya milioni kumi kwa miaka mitano walinufaika na mamilioni wataendelea kunufaika kwa miaka mingi ijayo.

 
Mlivoufukua huu uzi moyo ukashtuka ukizingatia leo ni NoV 2 wagalatia mnajua ni nini
Anyway Mwenyezi Mungu amjaalie umri zaidi in sha Allah
 
Back
Top Bottom