Reowned
JF-Expert Member
- May 29, 2024
- 393
- 1,058
Nilipoona umenimention tu nikajikuta nacheka . Lol.Shadeeya miaka 19
Liwalo na liwe, nyama hadi iliwe.Hiyo pisi ni mboga ya chawa wa mbogamboga wakina mafwele
kuwa tu makini ukitekwa mipango yetu ita fail ya kuwamaliza mapimbi haya ya kijani
Mimi sio mtu wa madem km wewe ila ukiingia mkenge tu-MSIBA!
Mshana Jr 53-56Mshana Jr 46
cocastic 31
Binti wa zamani 40
Hannah 35
Kiranga 37
secretarybird 31
ELI COHEN 34
ERoni 36
hamis77 35
FaizaFoxy 48
ephen_ 36
dosho12 30
Vincenzo Jr 31
Maxence Melo 48
Chica Gee 27
Dr am 4 real PhD 42
Mallerina 28
Utabiri wako ume angalia nyanja zipi mpaka ukaangukia hapo
hoja na mada mnazowasilisha humu ndani.Utabiri wako ume angalia nyanja zipi mpaka ukaangukia hapo
Hoja hupimwa kwa ushahidi wa mantiki na sio kwa makadirio ya umri.hoja na mada mnazowasilisha humu ndani.
Kwamba aunt kanipita miaka 10😅😅😅
Ni wewe mume wa gudilaPlease nitake radhi kwa hili ☝️bonge la kosa.
Hahaha kweli mapenzi konyo hayashaulikiLiwalo na liwe, nyama hadi iliwe.
Mwaka 1984 wakati wa vita ya uhujumu uchumi ndio niliikataa ccm rasmi
Kwani mkuu amekuongezea sana au amepunja sana?!Utabiri wako ume angalia nyanja zipi mpaka ukaangukia hapo
Classified informationKwani mkuu amekuongezea sana au amepunja sana?!
Mbona unanidogosha hivyo Mjukuu 😅