Ebu bashiri umri wa members humu JF

Ebu bashiri umri wa members humu JF

Binti wa zamani 33
Harmful 23
dosho12 27
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Em ongeza miaka 33 hapo ๐Ÿ˜Ž,mi ni muhenga
Kwamba aunt kanipita miaka 10๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Hebu nipunguzie miaka 23 ni mingi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ana utani na wewe, nakumbuka kipindi nafikisha miaka 30 kwenye birthday yangu ulisema ukiwa mkubwa unataka kuwa kama mimi ukiwa una miaka 7 ๐Ÿ˜
 
Em ongeza miaka 33 hapo ๐Ÿ˜Ž,mi ni muhenga

Ana utani na wewe, nakumbuka kipindi nafikisha miaka 30 kwenye birthday yangu ulisema ukiwa mkubwa unataka kuwa kama mimi ukiwa una miaka 7 ๐Ÿ˜
Bro na wewe huo Mwaka si ndiyo nilikataliwa la kwanza kisa nina miaka 4 iweje useme 7 ๐Ÿ˜†
 
Mimi imebidi niwaulize vijana wa humu kwani kwao hakuna wazee sisi wa miaka 80 hata kutukumbuka japo kwenye tabiri zao za makadirio wamegoma!
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† wazee wako kwenye kahawa, miaka 80 si unaongea uku unatetema
 
Back
Top Bottom