Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,493
- 176,567
Woooi🙌🙌Nini mbaya lakini Mjukuu
Nionee huruma Babu yako 🤗
Woooi🙌🙌Nini mbaya lakini Mjukuu
Nionee huruma Babu yako 🤗
Basi tufanye 25.Japo sijauliza home umri wangu ila nimelia sana
😹😹😹 Tatizo chake kimezidi hadi yeye mwenyewe anakisema kipo km kidole cha mguu 🤣Kumbe unapenda matango, si ulisema hutaki kutanuliwa uch! wewe?😅
Nimezimia mara tatu!Basi tufanye 25.
Kuwa na huruma na Wazee 😅Woooi🙌🙌
Ni kwasababu muda mwingi nakula vyakula vya asili 🤗😂😂😂😂 80 unaona vzr hivi
Ila we mzee mbona unajifanya mstaarabu hivi🫢😂Ni kwasababu muda mwingi nakula vyakula vya asili 🤗
Ni ubashiri tu
Aaahhh... we binti hebu tuheshimiane basi..
Vipi ni mingi sana?Aaahhh... we binti hebu tuheshimiane basi..
Kuwa na adabu hata za KUKOPA kwa mangi sina.
Mie nikawe 25 kweli, ama kweli akutukanae hakuchagulii tusi 😂😍
Unanikosea adabu ujue we binti, mie sio mtoto mwenzio.Vipi ni mingi sana?
Wote hao nawazaaMshana Jr 46
cocastic 31
Binti wa zamani 40
Hannah 35
Kiranga 37
secretarybird 31
ELI COHEN 34
ERoni 36
hamis77 35
FaizaFoxy 48
ephen_ 36
dosho12 30
Vincenzo Jr 31
Maxence Melo 48
Chica Gee 27
Dr am 4 real PhD 42
Mallerina 28
🤣🤣🤣🤣🤣Unanikosea adabu ujue we binti, mie sio mtoto mwenzio.
Mie kibabu mtarajiwa.
Huyo wa 26 bado analipa, wakulungwa wenzengu kumbe kunanyama mbichi humu.
We ni lizee usibishe tutakupigakwan wewe pia ulicheza nadr.livingstone?