min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 47,360
- 130,816
Kwenye ubashiri utajua vipi kama ni kweli au sikwel?Kumbe humu ndani wakati mwingine tunabishana na watoto wetu kabisa humu....😂😂😂😂
Kwenye ubashiri utajua vipi kama ni kweli au sikwel?Kumbe humu ndani wakati mwingine tunabishana na watoto wetu kabisa humu....😂😂😂😂
Mshana hukosekani early 50's😀😀😀 kumbe bado nadai✌🏿💪🏿
Kama 35 hivi mtani, najua nimepatia!!Sijasema shindii wewe ndio unabuni tu hapo
tuzidi kubashiri tu mtaniKama 35 hivi mtani, najua nimepatia!!
😀😀Nimecheka sana
😀😀😀😀
Huyu jamaa atakua na 33 au 34Watu wake wa karibu sana Vincenzo Jr wote wamesema ana 28 Bro kumbe ni janja kabisa😅😅😅
Sahihi hata mimi naona anakaa humoHuyu jamaa atakua na 33 au 34
yeahSahihi hata mimi naona anakaa humo
😀😀😀Mshana kibabu huyo over 50.
Huyo shoga cocastic mbona janja sana lakini umri wake umekuwa mkubwa kuliko wangu.....huyo ni around 23-26.