Ebu bashiri umri wa members humu JF

Ebu bashiri umri wa members humu JF

Ndugu kama unamuhitaji wewe ni bora ukaniambia nikuachie tu na siyo kunichimba mkwara mbuzi wa kitoto kama huo wakati mapanga ninayo.
Hiyo pisi ni mboga ya chawa wa mbogamboga wakina mafwele
kuwa tu makini ukitekwa mipango yetu ita fail ya kuwamaliza mapimbi haya ya kijani

Mimi sio mtu wa madem km wewe ila ukiingia mkenge tu-MSIBA!
 
Back
Top Bottom