Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,888
- 831,225
😀😀😀Mshana hukosekani early 50's
😀😀😀Mshana hukosekani early 50's
Hatari sana ukiingia kumi la pili tu hapo umri unapepea sio kinyonge.Dogo semenya Umepatia asee. Inaonekana unafuatliaga comment zangu za nyuma.
Juzi nilienda interview food chain flani hapa. Wakanikatalia wanataka vijana under 30s yani nikajisemea tu umri unaenda kasi sana. Nikikumbuka nilikujaga ulaya kijana mdogo sana 2008.
adriz de mbusii
Mwaka wa pili nakula pensheni mjukuu😅😅😅
Kiranga umekosea, huyo makadirio ya chini kabisa ni angalao late 40's.
Hauchekeshi babu😂Mwaka wa pili nakula pensheni mjukuu😅😅😅
Hiyo ni mali ya chawa mmoja humu nenda kwa umakini!Mapema sana ngoja nikamchungulie kule sanduku la siri.
Kunywa Pepsi Kwa mangi😁,,umejuaje?
Kama masihara tu nazeeka wakati jana tu nilikua mtoto mbichi
Wewe ni zee la miaka 38 acha kulisha watu matango pori.Dogo semenya Umepatia asee. Inaonekana unafuatliaga comment zangu za nyuma.
Juzi nilienda interview food chain flani hapa. Wakanikatalia wanataka vijana under 30s yani nikajisemea tu umri unaenda kasi sana. Nikikumbuka nilikujaga ulaya kijana mdogo sana 2008.
adriz de mbusii
Hizi bashiri tu hatutaki ukweli sis🤣🤣Kama masihara tu nazeeka wakati jana tu nilikua mtoto mbichi
Wacha bwana🤣I love you babe😅😅😍
Kumbe mie ni children kabisa🤣🤣🤣Atoto 25
35 aringe!Kama 35 hivi mtani, najua nimepatia!!
the same manNa busu la kenge na maghayo je