Ina maana nina mambo ya kitoto.
😅unaweza kuwa na mambo ya kitoto ila ni mtu mzima au mambo ya utu uzima ila ni mtotoIna maana nina mambo ya kitoto.
We juzi si ulikuwa katoto tu una 20 sijui, umefikaje 29 haraka hivi?Kunywa Pepsi Kwa mangi😁,,umejuaje?
🤣🤣🤣🤣 mzee gani bwana! Yule kijana mdogo kabisa.Alipata mshituko wa moyo si unajua wazee😂😂😂
Miaka inaenda Kasi sana yaaniWe juzi si ulikuwa katoto tu una 20 sijui, umefikaje 29 haraka hivi?
Kijana wangu bado miaka 7 tu afike 26
Kumbee😆😆 basi yuko vzr sana🤣🤣🤣🤣
Mawazo ya kizee ila ni katoto.
🙆♂️🙆♂️Uzinifu ulianza utotoni!Kijana wangu bado miaka 7 tu afike 26
Nimeona miguu selfika🤣ata 3rd floor bado huyu tumiguu gani huto🤭🤣🤣🤣🤣 mzee gani bwana! Yule kijana mdogo kabisa.
Alipost picha selfika yaani ni kachalii kabisa🤣🤣Nimeona miguu selfika🤣ata 3rd floor bado huyu tumiguu gani huto🤭
Mishangazi itakahusu haka aisee😂😂😂 si kamepost jioni hii..Alipost picha selfika yaani ni kachalii kabisa🤣🤣
Sema kanapenda ukubwa.
Mbaya zaidi na kuna binti wa mtu ananiita baba mkwe huko😆🙆♂️🙆♂️Uzinifu ulianza utotoni!
Itakuwa vizuri akijileta nitakuwa nimepata sababu ya kupita na kichwa chake angani.Hiyo ni mali ya chawa mmoja humu nenda kwa umakini!
Please nitake radhi kwa hili ☝️bonge la kosa.secretarybird ndo kaanzisha huu Uzi ana miaka 24 kamaliza lyamungo Juzi
Naona umemkamia Mongo Savage.Na busu la kenge na maghayo je