UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 17,639
- 8,935
Mada inahusu masuala ya kichawi nami nachangia kama wengine ila naona unasema et naaminisha watu imani za kijinga tena inaonyesha unachukizwa kana kwamba mie ndio niliyoleta huu uzi humu. Ndio maana nimekwambia kama unachukizwa na michango yangu kwa namna yeyote ile basi niweke katika Ignore list ili usione hizo imani za kijinga.Sipendezwi kivip? onyesha huo uchawi tunapata shida sana hata kuhudumia jamii na kuelimisha kuhusu magonjwa kwa imani za kijinga jinga za kichawi, imani za uchawi ni imani za kijinga sana