Wachawi ni nani hasa? Nakuuliza hivyo kwa sababu nimeona hapo kwamba unasema wachawi wamejiwekea loopholes kwamba wanasema hivi na vile, mimi binafsi hadi leo hii sijawahi kushuhudia mtu anayejitambulisha kuwa ni mchawi na akawa anaeleza mambo yenye kuwahusu wachawi na uchawi wao.Wachawi na watu wao wanaoamini uchawi wamejiwekea loopholes nyingi sana, mara waseme uchawi haufanyi kazi benki, mara uchawi haufanyi kazi kwa mtu usiyemjua, mara uchawi hauvuki maji na upuuzi mwingine mwingi tu, ni mental gymnastics tu.
Uchawi wa kale ni upi na unaanzia miaka ipi mpaka ipi?Anyway wewe unataka uchawi upi? Ule wa quran(sio mgumu kama inavyodhaniwa kwasababu inatumia maneno ambayo yamezoeleka)
Ama unataka ule wa kale? Japo huu ni mgumu kiasi inaweza kukuchukua kuanzia miez 6 mpaka kukamilika
Ila hizi hoja zengine ni kama mnajitekenya na kucheka wenyewe, hivi wewe unavyohoji issue ya wachawi au kutumika uchawi kuiba bank, hivi hata ikitokea ukasikia kuna bank inasema wameibiwa pesa kichawi wewe utakubali hilo suala kuwa ni kweli pesa zinaweza kuibiwa kichawi?kitambo sana wanasema huko benki wachawi wake ndo balaa sana 🤣
Naomba unisaidie tu majina ya hivyo vitabu, kama hapa haiwezekani njoo hata PMUchawi upo ndugu zangu na sio jambo la kushabikia lengo la huu uzi sio kujionesha kujua kitu fulani lengo langu kuu ni kufungua uwepo wa muumba kwasababu wengi huamini njia za mkato pekee na wakati njia ya muumba ndio njia sahihi
Sayansi inathibitika kimantiki ila Uchawi haithibitikiSasa na yeye akikuuliza swali kama hilo utajibu nini? Yani akikuuliza unahakika gani hakuna uchawi na si kwamba kutokujua kwako tu maarifa ya uchawi ndio kunafanya useme hakuna uchawi utajibu nini?
Kwa sababu ukiangalia sidhani kama katika experience yako ya maisha umewahi kushiriki ama kushuhudia mwenyewe katika mambo ambayo yalihusishwa na uchawi, kwako wewe uchawi ni issue za kusikia tu na si zaidi ya hapo.
Umeeleza sawa sawia kabisa.Na binafsi siamini kama kuna mtu humu ambaye ni mgeni wa maneno "UCHAWI"
UCHAWI ni neno ambalo likitajwa wote tunakuwa tunaelewa muktadha unalenga nini.
Lakini kama katika mjadala kuna mtu amehoji nini maana ya uchawi wala haiwezi kuwa jambo geni kwasababu kwenye mjadala premises za hoja zinaanzia katika definition.
Kuna uwezekano katika mazungumzo yenu kuna mambo umeyaongea ambayo hayaja match na taarifa zake juu ya jambo hilo hivyo anakuomba umpe maana ili aelewe zaidi.
Kwa mfano neno SHETANI tunaweza kuliona kama lipo universal likielezea kitu chenye maana moja inayogusa jamii nyingi.
Lakini kama neno SHETANI tutalifanya mjadala wa kuanza kujadili undani wake, basi hapo tunaweza kuona haja ya maana kwasabau katika ukristo SHETANI ni malaika muhasi wakati katika Uislamu stori ni tofauti.
Kwa hiyo kama mimi nilijenga hoja katika perception ya Ukristo kuhusu SHETANI halafu nikaona kuna sehemu hatuendi sawa basi ni sahihi kuhoji maana ya SHETANI ili nijue upande wako unatafsiri gani.
Sayansi ina misingi yake na mipaka yake, kuna aina tofauti za uthibitisho au kuthibitisha jambo kwenye nyanja tofauti na uthibitisho wa kisayansi ni mmoja wapo tu. Sasa huku kusema kwamba uchawi hauthibitiki au hakuna uthibitisho wa uchawi mara nyingi huwa mnakusudia uthibitisho wa kisayansi, na uchawi hauendani na zile kanuni za kisayansi.Sayansi inathibitika kimantiki ila Uchawi haithibitiki
Sayansi inawekwa wazi ila Uchawi huwa ujafanywa kuwa siri KWANINI?
Labda waingie mitini kutokana na ubishi wenu kwa sababu ni kazi ngumu kujaribu kumuelewesha mtu kitu asichokielewa ilhali ametangulia kupinga hicho kitu asichokielewa.sasa mbona wenye taarifa za uchawi hilo swali wakiulizwa wanaingia mitini? na uzi kimsingi mara nyingi hukwama mahali hapo
mi nimesema ikitokea kasema hivyo wewe utakubali?Kwaiyo unamaanisha yeye ni mkuu wa wachawi mpaka useme hivyo?
Nadhani kuna kitu utakua unachanganya, serikali yenyewe inaendesha nchi kulingana na vitu vinavyoonekana. Viongizi wengi wana imani zao tofauti ili kuepusha mkanganyiko wa kiimani serikali imeamua kutenganisha imani ya mtu binafsi na katiba
Leo hii kiongozi wa irani anaweza kusema wao wanashambuliwa kwasababu ya uislam wao na wao wanatetea uislam wao..hapa utaona kiongozi wa irani yupo huru kuingiza imani kwenye mambo ya kiserikali tofauti na ulivyosema hapa kwetu rais ahutubie bunge kama tumelogwa(kwetu haikuwa na nguvu kwasababu tupo imani tofauti)
Wala usiende mbali, Wewe mwenyewe mchawi /mshirikina, mleta uzi naye pia mchawiWachawi ni nani hasa? Nakuuliza hivyo kwa sababu nimeona hapo kwamba unasema wachawi wamejiwekea loopholes kwamba wanasema hivi na vile, mimi binafsi hadi leo hii sijawahi kushuhudia mtu anayejitambulisha kuwa ni mchawi na akawa anaeleza mambo yenye kuwahusu wachawi na uchawi wao.
Labda kama umejichubua kwa kitaulo kama wanawake wa MbeyaNikikuambia mimi nilizaliwa mzungu wa denmark ila nilichoma sindano na kuwa mtanzania mwenye asili ya mbeya utakubali?
Sure,Luck, connections, exploitation, inheritance, crime etc
Labda waingie mitini kutokana na ubishi wenu kwa sababu ni kazi ngumu kujaribu kumuelewesha mtu kitu asichokielewa ilhali ametangulia kupinga hicho kitu asichokielewa.
Sasa mtu anatumia zile imani potofu za watu zenye kuhusishwa na uchawi na kusema hakuna uchawi ni imani potofu tu za watu kushindwa kuelewa mambo yalivyo, utafikiri imani potofu huwa zipo kwenye kwenye uchawi tu.
naam, basi tusubiri watu wanaojitambulisha wachawi, au walioujua uchawi waje tuone maelezo yao mkuu, ili mambo yasiwe mengimimi binafsi hadi leo hii sijawahi kushuhudia mtu anayejitambulisha kuwa ni mchawi na akawa anaeleza mambo yenye kuwahusu wachawi na uchawi wao.
Uchawi unathibitishwa kwa kanuni zipi?Sayansi ina misingi yake na mipaka yake, kuna aina tofauti za uthibitisho au kuthibitisha jambo kwenye nyanja tofauti na uthibitisho wa kisayansi ni mmoja wapo tu. Sasa huku kusema kwamba uchawi hauthibitiki au hakuna uthibitisho wa uchawi mara nyingi huwa mnakusudia uthibitisho wa kisayansi, na uchawi hauendani na zile kanuni za kisayansi.
Zilete kwanza.Zipo nyingi sana naweza kuzileta ikawa mada mpya kabisa kujadili ipi ni sahihi, ndio maana nimekuuliza kwa vile unavyoelewa hadi ukajenga hoja ya kwamba huo uchawi ungekuwepo afrika ingekuwa tajiri.
Uchawi unahusu utajiri?
Unaamini luck?Luck, connections, exploitation, inheritance, crime etc
Watakwam ia kuwa hao misukule ni watu wanaoigiza.. na hata hao matajiri ni matapeli wanaorubuni wajinga ili wawatapeli...Kwahiyo hizi kafara, misukule, mali za kitajiri, kusababisha uchizi kwa watu na malimbwata ni vitu vya uongo? Mbona vina matokeo na tunaona watu wakivipitia..