Dunia ina mambo mengi ya kushangaza

Dunia ina mambo mengi ya kushangaza

Sio mbaya sana, ila kwenye dini hapo ongeza juhudi utakuja kugundua zaidi ya ulichogundua na utaachana na kwenda kanisani na ukatoliki wako! Nami nilikuwa mkatoliki lakini nimeenda zaidi ya wewe.
Unaweza kuthibitisha vipi kuwa ulicho gundua kuhusu haya makanisa ni sahihi zaidi? au ni tafsiri yako binafsi tu?
 
AJira mkuu. ..jiwe moja tu nkazama kazini japo nilishatubu naomba isije kujirudia tena
Ulitafuta ajira miaka mingapi?
Hatimaye ulipata ajira kwa kupita interview, ulipata connection au ulipewa kazi tu bila kujua umepewaje bila interview au connection?
 
Ulitafuta ajira miaka mingapi?
Hatimaye ulipata ajira kwa kupita interview, ulipata connection au ulipewa kazi tu bila kujua umepewaje bila interview au connection?
Haya mambo kama huyaelewi utaona nimechanganyikiwa tu

Anyway mm kazi zangu ni za mkataba tu ila kwa fani yangu na level niliyofikia(cheti) nipo kwa market sana yan kaz nazipumzisha mm ila nilinuiziwa vibaya mambo yakaharibika

Ni sawa na ww upo barabaran na V8 halaf vipaso vinakuwashia indicator tu unajaribu kukanyaga mafuta lakini unaona mshale haupandi inavyotakiwa, lazma utashuku uchunguze gari lako na kulifanyia marekebisho

Hopefull utakuwa umenielewa
 
Sijakuelewa,
Kwako hakuna hata story ya kueleweka au kushawishi kuunganisha au kuupa promo uchawi au uganga hata tone. Huu ni uzi fluff tu.
 
Sijakuelewa,
Kwako hakuna hata story ya kueleweka au kushawishi kuunganisha au kuupa promo uchawi au uganga hata tone. Huu ni uzi fluff tu.
Sijakulazimisha na hapa sipromote uchawi soma vizuri nimeongelea kuhusu hizo nguvu zipo ila ni kinyume na aliyetuumba
 
Wala hata ninasoma tu maswali yenu nashindwa kujibu kwasabau jambo la kiroho mnataka ushahidi wa kuonekana

Hata hiyo sayansi kuna vitu inathibitisha vipo kwa athari zake tu na sio kuviona wala kuvigusa
Hakuna mtu aliyetaka hata uthibitisho wa kuonekana, pia katika Sayansi kuna namna nyingi sana za uthibitisho mpaka mathematical equations.
Tatizo kubwa la mambo ya korosho(superstitions) watu tofauti wanaweza kuona mti mmoja unatikisiwa na upepo mmoja akasema ni mungu anazungumza naye, mwingine akasema ni mapepo, mwingine akasema ni majini, mwingine akasema ni ishara n.k
Kwa watu wengine paka mweusi akikatiza mbele yako ni ishara mbaya kwa wengine ni ishara nzuri
 
Sijakuelewa,
Kwako hakuna hata story ya kueleweka au kushawishi kuunganisha au kuupa promo uchawi au uganga hata tone. Huu ni uzi fluff tu.
Ndio maana nakwambia ni vyema ukaachana na habari za kusikia tu kisha unatoa hitimisho kupitia habari za kusikia, wengine tunatamani sana kuona watu kama nyie mkija humu kuelesea matukio mliyoyashuhudia nyie wenyewe yenye kuhusishwa na uchawi kisha mkayafafanua ni kwa vp si uchawi kama watu wanavyoamini bali ni nini hasa.
 
Unathibitishaje hicho unacho kiita uchawi, ni uchawi kweli, na si maarifa ambayo wewe huyaelewi?
Sasa na yeye akikuuliza swali kama hilo utajibu nini? Yani akikuuliza unahakika gani hakuna uchawi na si kwamba kutokujua kwako tu maarifa ya uchawi ndio kunafanya useme hakuna uchawi utajibu nini?

Kwa sababu ukiangalia sidhani kama katika experience yako ya maisha umewahi kushiriki ama kushuhudia mwenyewe katika mambo ambayo yalihusishwa na uchawi, kwako wewe uchawi ni issue za kusikia tu na si zaidi ya hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom