Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 10,508
- 31,391
Mi ninaamini kwasaabu zimeshawahi kutokea watu ninaowajua😅naam sasa wewe jibu hilo unaona linaleta mantiki? maana ndo jibu lao kwamba bank sasa ndo kuna uchawi mkubwa kuliko wote, au kuingia bungeni lazima uwe umejipanga haswa maana sio poa hata kidogo --- kumbe ni mambo ya kwenda sawa na wenye system tu.
au story za kuibiwa mazao shambani kwa njia za kichawi ila njia hizohizo hazifanyi kazi kwenye maghala ya mazao
hii ni michezo mkuu
mkuu shinda tunapitia nyingi sana, na tiba moja wapo ni kuzikataa story za namna hii.
we unaamini hizo mambo?