imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,403
- Thread starter
- #581
Hoja ni kwamba Uisilamu unasambaza Culture ya Mwarabu, kweli sio kweli?!Sio kweli,hata hao waarabu pia wana dini za asili.Uislamu uko.tofauti na dini za asili.za waarabu.Dini za asili,ndio zilizoleta utumwa.duniani,na pia akifa kiongozi,anazikwa na watu watatu,,walio hai,na elimu pia haipewi.kipa umbele.
Vua kwanza Kilemba ili ufikiri vizuri.