Dr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi.
Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu tena bali amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika, yaani African Spiritualism.
View: https://youtu.be/2zxXzGX_i-Y?si=vAOjyCo_bS9uLiRS
Eti ndio mnataka kuongoza nchi, bora ccm iendeleeHajapendeza bali kafanywa Mtumwa wa Kiarabu.
Jikite kwenye HOJA.
Wewe kwenda zako huko! Wewe mwenyewe unachapia mara kwa mara humu! Au wewe ndio mwalimu wa hilo somo la Ujinga??= yanafikirisha.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?.