imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,403
- Thread starter
- #481
Usinitege na Vijimaneno tulivoviazima kutoka katika Lugha za Wakoloni ni uvivu tu wa Baraza la Kiswahili Tanzania kutunga mbadala wa lugha hizo za Kikoloni.Hilo wala halinishangazi.
Nakuuliza wewe, wewe ni mstaarabu au siyo mstaarabu?
Hapo sasa.
Kila lugha ina maneno ya kuazima hata Kiarabu chenyewe kina maneno ya kuazima kutoka katika lugha nyingine.