Ukisema hoja yangu ni ya kibaguzi hata hoja ya kuwakataa waaarabu pia ni ya kibaguzi!Hoja zaifu sana, tena ya kibaguzi. Babu zetu walivaa Migolole.
Muangalie Emperor Menelik2 alivyopiga Pamba
View attachment 3119698
Mfalme wa Uhabeshi.
Umeshindwa kuyasoma ?! Hayo ni maneno ya kiarabu, yakiandikwa kwa herufi za kilatini ladha yake inapungua!.Kwanini usyaandike kwa Kiswahli?!i
Labda ni kweli! Muhimu zaidi ni kwamba Nina furaha, Nina Imani, Nina amani kwa hiki nilichokichagua.Umeshafanyanywa kuwa Mtumwa wa Kiakili.
Hapana!! Alshabaab, Al Qaida, Boko haramu na mfano wao HAO NI MAGAIDI AMBAO AIDHA WAMEFAHAMU VIBAYA MAFUNDISHO YA UISLAMU AU WAMEYAPOTOSHA MAFUNDISHO YA UISLAMU MAKUSUDI ILI KUFIKIA MALENGO YAO YA KIDUNIA.View attachment 3119785
Tazama Bendera zenye maandishi ya Kiarabu na Waafrika waliokuwa Brainwashed na Arabized wanavyouana huko Somalia.
Wanauana kwa ajili ya Allah.
Na hao wavaa tai na suti unaowaita wachache ndio kama akina Mwigulu nchemba ndio wanaoshika mamlaka na uongozi wa NCHI za kiafrika. Hebu niambie rais wa Afrika asiyevaa Suti na tai.Waafrika wanaovaa Suti na Tai ni wachache sana.
Waafrika wanaovaa Suti na Tai ni wachache sana.
Allah ni mpuuzi tu. Lioga kama nini. Limetandikwa na wayahudi likala kona na kuzama chaka.
Allah sucks maamaee
Sasa kama jihadi ni dhidi ya makafiri mbona hao Al shabaab huko somalia wanaua waislamu wenzao?!Sio kweli soma Quruani vizuri uone inavyoamrisha Jihadi dhidi ya Makafiri.
Wasomali wengi madhehebu yao ni ya Waislamu poa kama hawa wa kule Markaz Gongolamboto hapa Dar.Sasa kama jihadi ni dhidi ya makafiri mbona hao Al shabaab huko somalia wanaua waislamu wenzao?!
😁😇😇 hilo pumbavu litakua lilienda kusoma kaswida kama mimi.= yanafikirisha.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?.
Mimi nafuata madhehebu ya Salafi unayoyazungumza. Na ni kweli madhehebu yenye nguvu na yanayofuatwa na watu wengi pale Saudiarabia na yanayoungwa mkono na serikali ya kifalme ya Saudia ni madhehebu ya kisalafi. Na serikali ya Saudiarabia inapiga vita ugaidi na ndio maana ilimfutia uraia OSAMA BIN LADEN na kumfukuza akakimbilia mara Sudan mara Afghanistan hadi akaenda kufia Pakistan.Wasomali wengi madhehebu yao ni ya Waislamu poa kama hawa wa kule Markaz Gongolamboto hapa Dar.
Alshababu wanasema kwasababu Wasomali wanafuata mafundisho ya Abdukadir Jailani kwamba na wao ni Makafiri.
Alshababu ni dhehebu la Salafi kutoka Saudi Arabia.
Zingatia sana hapo kwenye Red