physician2023
JF-Expert Member
- Dec 15, 2023
- 875
- 1,090
Dr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi.
Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu tena bali amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika, yaani African Spiritualism.
View: https://youtu.be/2zxXzGX_i-Y?si=vAOjyCo_bS9uLiRS
Huyu toka hapo hakuwa muislamu,ni njaa tu ilimuhangaisha,alifikiri huku kwenye uislamu ,atapata vya bure,njaa mbaya,anafikiri akiwa na dini za asili,atapata vya bure.