imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,403
- Thread starter
- #461
Interahamwe hawakuwa wanapigana Vita kwa ajili ya Mungu wale walikuwa kikundi chenye msimamo mkali wa Kikabila au Race.Sio kweli.Huko Ireland ya kaskazini,magaid ya waprotestant na wakatoliki,wameuana sana,na huko Rwanda wakatoliki wamewauwa watu wengi,mpaka