Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
lowasa ataongea nn...hata yale aliyoongea jana inaonesha kabisa alikaririshwa.sijui ni mtu gan uyu
KUB..alshasema lowesa ni bubu hajielew yupoyupo tu.sasa ndio anautaka Urais?
 
Thubutuu mtu kujieleza tu yeye mwenyewe ni shughuli.tumejionea vituko leo pale sheikh amri abeid.

Nyi si mmezoea speech za kupigapiga kelele ndio muone kaongea, tafakari maneno yake na mikakat yake, speech sio kupigapiga makelele kams ya mbowe
 
Nyi si mmezoea speech za kupigapiga kelele ndio muone kaongea, tafakari maneno yake na mikakat yake, speech sio kupigapiga makelele kams ya mbowe
Si bora hata angeweza kupangilia hayo maneno? Na kuyatamka? Ashukuru sana pesa zake zimemsaidia jana pale kama si yule mzee Kingunge kuamua kuhutubia hali ilishakuwa mbaya pale. Mzee lowasa alibaki kusema nitafanya maamuzi magumu anawauliza watu nirudieee. Teh teh teh
 
Hivi wewe unaona Slaa anaweza kufanya mdahalo na mtu? kwa lipi zaidi? labda aongelee namna ya kupora wake za watu na kukandamiza watu korodani zao.

Kama ni hivyo,mbona Kikwete alikwepa midahalo na Dr.Slaa?
 
ivi sis tumekuwa brain washed na nini?
ivi inamaana mtu kumudu mdahalo na Dr slaa baasi ana qualify kuwa rais?
tunatumia sayansi gani kujua kwamba kipimo sahihi ni mtu kuweza kucompete na Slaa
aina hiyo ya measurement imekuwa quantified vipi na wapi?

je nani aliyemfanya Slaa kuwa benchmark??

na je quantity of measurements zikoje ama utatuambia ni slaa/m[SUP]2[/SUP] /sec??
Salary Slip leo brodah hebu rudi upya useme unataka kusema nini na sio kwa mada kama hii, najua wewe u mzuri zaid ya hivi na uwezo wako ni mkubwa kuliko hivi.
 
Last edited by a moderator:
Maswali ya papo kwa papo yalimshinda, ndio ataweza mdahalo na Slaa? Mwenzake alikimbia 2010 na kujifanyia mdahalo wa peke yake.
Ova

lowasa akiri yake imeliwa na mchwa.Uwezo wake mdogo sana wa kujenga hoja.Yeye anajua kuiba tu maccm mwaka huu yatauwana.
 
nilikua sijawahi kumsikia lowasa akiongea popote, hata bungeni sikuwahi kumsikia akichangia chochote, lakini kwa hutuba yake ile leo, hakuna shaka yule jamaa ni kichwa maji, hafai hata ukuu wa wilaya achilia mbali urais...

umenifurahisha sana
 

Umeanza vizuri hoja yako na ina mashiko ila hapo mwisho kwa nini unambembeleza wakati objectively he is totally wrong??!!!

Tuwaambie bayana hawa wafuasi wa vyama kuwa mihemko isije kwenye vitu ambavyo vinahitaji validity na reliablity. . . . . .ili wajue kuna zone ya watu wasiomeza siasa
 
Last edited by a moderator:

kama hawez kujenga hoja utampima vipi uelewa wake
 
Last edited by a moderator:
Lowasa mweupe sana kama plain paper na Ukawa tunamtaka huyuhuyu
 
kila uchafu unaouona nchi hii ulifichuliwa na Dr slaa ,
kipi usichokijua , umewahi kumsikia lowasa akipambana na mafisadi ? bali hujasahau kwamba slaa ndio kiboko ya wezi nchi hii .

Hata kama hayo uyasemayo ni kweli je,ndiyo kitu cha kutushawishi kuwa Dr.Slaa ndiye anayetufaa kuwa Rais wetu? Kwangu mie naona ndiyo kazi ya vyama vya upinzani.
 

well, nimejikuta nambembeleza manake nimejiskitikia sana.
Ujue nilichogundua ni kuwa sisi watanzania tumekuwa influenced zaid na mapenzi kwa watu badala ya kuangalia vitu vya msingi zaid kama vile uwezo wa mtu kiuongozi, sera, dira na strategies za mgombea katika uongozi.

tukianza eti kusema nani anamudu kushiriki mdahalo na Slaa ipo siku watu watakuja kuanza kufananisha sura nani mwenye sura nzuri zaid ya mwenzake, na mwingine ataenda mbali zaid nani photogenic zaid ya mwenzie ili aweze kuipamba Tz kwa picha nzuri ya rais.

Hata kama ni ufuasi wa huyo Slaa lakn iwepo basi mantiki ya kumuuza unayemtaka
 

Teh nimecheka sana kwenye namba 4 km ni kwel
 
kama hawez kujenga hoja utampima vipi uelewa wake

hoja gani unayotaka ajenge akashindwa?
ama mnakuwa influenced na yaleyale eti ni mfichua maovu mkasahau kwamba hiyo ni kazi ya chama chochote cha upinzan.
niambie kwanza quantity of measurement kwa mtu anayeweza kumudu kudahalika na Slaa ni ipi??
who has said Slaa is the best among all?
hivi mnamuweka wapi Prof. Lipumba tukisema tuangalie mtu ambaye kweli ni presidential material?
 
Lowassa ni mtu wa vitendo..... wengine wa maneno makavu
 
Lowasa na Slaa wote ni wagonjwa huwezi kupambanisha wagonjwa utakuja pata kesi
 


Shukraaaan. . . . . . huyu ndiye gfsonwin the teacher. . . . . . . .
Mie naona kama nakata tamaa haswa linapokuja suala la watu kukosa hoja wakati wa uchaguzi kama unavyosema; vijana wanawaza U DC tu na kukumbukwa kwenye ufalme. . . . .yaani tumbo-njaa-syndrome ya hatari kabisa!!!

Too sad. . . .
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…