Alafu anapenda sana amri,mara 'we DJ zima kwanza,rudia,acha hiyo,mbona husikii n.k,kauli zake ni kama yuko Jkt makotopora.Na bora leo tumeweza kujua kwanini huwa haongei Mara kwa Mara,simply hajuhi kujieleza akajenga hoja na ana papara sana
hawa magamba wanaishia kujiita wanyamwezi tu, usanii mpaka mwisho. Litakuwa ni kosa kubwa sana kumpata rais bila kupitia mdahalo. Ikitokea hiyo ndipo wanaomshabikia watajua kuwa ni lyatonga wa pili.
Tuliona lilivyotusaidia wakati wa Mkapa na jinsi lilivyotugharimu kwa JK.
Watanzania tusivyo serious tunaweza kuruhusu hili tena na kuuziwa mbuzi kwenye gunia maana tangia ratiba ya tume ya uchaguzi itolewe nilitegemea pia kuona ratiba za midaharo japo mitatu kutoka kwa wadau lakini hakuna hadi sasa!
Ndugu yangu umeongea jambo la maana sana,mdahalo ni muhimu mno na ilibidi kwenye katiba mpya pawepo na kipengele kabisa ili wachovu wasipate nafasi kabisa.
Hatutaki maneno mengi sisi tunachotaka ni vitendo ishu ziende kama zinavitakiwa na ahadi zitekelezeke,tunataka tufike nchi ya ahadi na wakutupeleka huko ni lowasa .
Mtakuja kutuletea mtu tupate aibu kama ile ya Obama alipokuja Jk akawa anajikanyaga tu zis zat hatahajuwi aanzie wapi.bora hata huyu tutasema kiingereza kilimshinda.sasa huyu lowasa hata kiswahili hawezi jamani tumsaidiaje? Tahadhari kabla ya hatari.
Duh! UN mbali sana huko, hotuba zake mara nyingi hukosa mtiriko wa kuonesha mwanzo, katikati na mwisho.
Ni kama mtu anayejisemea tu jambo lolote linalomjia.
Hivi kweli Lowassa anaweza kushiriki mdahalo wa uraisi na mtu kama Dr.Slaa na akamudu kujibu hoja na changamoto zote zitakazojitokeza katika mdahalo huo?
lowasa anajaziba. Hana uwezo wa kitulia na kujenga hoja. Tangu ln mwizi akapata ujasiri wa kusema bila kupepesa macho kwamba atapambana na majambazi wenzake?