Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Tatizo la Slaa ni kwamba akipewa Mbowe ndiye atakuwa anaongoza nchi. Joyce Mukya as first lady? Maybe not
 
Naomba wa kuu tufanye zoezi hili mhimu ili tujue mwenye mwelekeo wa Ushindi.utaratibu andika neno LOWASA au SLAA kuonyesha yupi ange faa kuwa Rais wetu waJMT.Mwishoni wakuu baada ya siku kadhaa nita toa majumuisho nani amepata kura ngapi na hivyo kuonyesha kuungwa mkono
 
Wakati gazeti la Nipashe likianzisha kura ya maoni miongoni mwa wana-CCM wanaotajwa kuwania kuteuliwa na CCM kuwakilisha chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao kwa lengo la kugombea nafasi ya uraisi kupitia chama hicho na huku bwana Lowassa akiongoza kwa kura,nafikiri ni busara na sisi kupitia mtando huu wa JF kumpambanisha bwana Lowassa na Dr. Slaa katika kinyang'aricho hicho cha uraisi kwa mwaka 2015.

Tupige kura kwa kuandika jina tu la mgombea unaedhani atafaa kuwa raisi endapo itatokea hao wawili wanateuliwa kuviwakilisha vyama vyao katika uchaguzi mkuu ujao.

NB😛iga kura bila kuendesha campaign yoyote.

Wakuu,ukienda hata kwenye ukurasa wa facebook kuhusu hii poll,utagundua tofauti baina ya hawa watu wawili ni sawa na mbingu na ardhi!

Hii poll hapa JF ni kioo tosha cha kuongoza vyama hivi wakati wa uteuzi utakapofika.

------------------------------------------------------------------

*Kwa maoni zaidi ya washiriki wa JamiiForums kupitia ukurasa wa Facebook - Dr. Wilbrod Slaa Vs Edward Lowassa (JamiiForums facebook page)
attachment.php


Hawa watu kuwashindanisha haiwezekani, kati yao ni sawa na Mbingu na Ardhi kama ulivyosema. Sasa CCM watamsimamisha nani? maana Lowassa ndo analipalipa kwa upande wao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom