Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
CHADEMA kwa sasa iko vizuri na kina nguvu..lakini Dr Slaa hana hekima ya kutosha ya kuongoza nchi kama Tanzania hasa kwa kauli zake..UKAWA wachague mgombea mwingine kwa makini zaidi

.... Ukiona Hivyo Ujue Slaa Ni Tishio, Ccm Wanaomba Mungu Ukawa Wateue Mtu Mwingne Tofauti Na Slaa
 
Kwa akili ya kawaida sana huwezi kamwe kumfananisha Lowasa na Slaa. Slaa ni kiongozi kwa kuzaliwa na uongozi anaujua vilivyo na Lowasa ni mzuri akiwa chini ya mtu na si kusimama peke yake. Tumpe nchi Slaa ili atusaidie na arudishe heshima ya Taifa iliyopotea tayari...!!!! Viva Slaa, Viva ukawa; Viva CDM....!!!!!!
 
Namwomba Mungu Dr Slaa apitishwe kuipeperusha bendera ya CHADEMA urais 2015. Pia namtakia ushindi huyu rais wa awamu ya tano kiboko cha mafisadi na chachu ya maendeleo na maisha bora kwa watanzania wenye nchi iliyojaa raslimali nyingi isiyonufaisha wazawa.
Asanteni natumaini ombi langu litafanyiwa kazi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom