Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Dr.slaa ndiye anayetufaa kwa sasa hakuna mwingine zaidi yake.
 
Habari wana jamii wenzangu, nimepita sehemu nikakutana na mjadala mrefu sana juu ya ubora wa kiongozi miongoni mwa hawa viongozi wawili.

Mh. Edward Lowassa na Dr. Wilbrod Slaa, kwa kuangalia weredi, utendaji kazi wao, ushawishi wao, usimamiaji wa majukumu na sifa stahiki za kiongozi, na kwa kutaja maeneo ya ubora wao, je, nani kiongozi bora kati ya hao?. Itumike Lugha yenye staha na isiyokuwa na makwazo kwa mwingine tafadhari.
 
Hahahahahaa! Nimekaa nikawaza hivi ikitokea ukaitishwa mdahalo kati ya Dk Slaa Na Lowasa nani ataibuka kidedea Kwa hoja zenye ushawishi maana ni hatari kuwa na Rais asiyeweza hata kujenga na kutetea hoja!
 
mbona tunaye rais ambaye si tu alishindwa kujenga hoja bali halikuwa akila kona akisikia mambo kama haya! Lowasa hana uwezo wa kujieleza...
 
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa anapambanishwa na Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa kupata mwanasiasa bora anayekubalika zaidi kwa ajili ya kuwania TUZO YA JAMII.

Shirika la Tanzania International Awards ndilo linaratibu shindano hilo.Wapo pia wanasiasa wengine pia wanaowania tuzo hiyo kama Mizengo Pinda,James Mbatia,Ibrahim Lipumba,Bernard Membe na wengineo ingawa mchuano zaidi unaonekana ni kati ya Dr Slaa na Lowassa

Pia kuna tuzo kwa ajili ya vijana na wanapambanishwa John Mnyika,Halima Mdee,David Kafulila,Mwigulu Nchemba,Saada Mkuya na wengineo.

Mpambano huo unafanyika kwa kutuma ujumbe mfupi wa maneno kwa mfano kumchagua Dr Slaa unaandika ujumbe MM03 kwenda 15522.
 
Ukiona tumefika mahali ambapo wahujumu uchumi na mafisadi papa waliolilaza taifa njaa wakipambanishwa na wazalendo wa kweli na wenye uchungu na nchi basi ujue Taifa hilo limeoza na kuangamia.
Ni matusi kumpambanisha Baba wa Taifa Dr.Slaa na Mtu kama lowasa hivyo ni sawa na kumpambanisha Malaika Gabriel na Jinamizi. Eeh Mungu tuhurumie.

UKOMBOZI KWANZA DEMOKRASIA BADAE
 
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa anapambanishwa na Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa kupata mwanasiasa bora anayekubalika zaidi kwa ajili ya kuwania TUZO YA JAMII.

Shirika la Tanzania International Awards ndilo linaratibu shindano hilo.Wapo pia wanasiasa wengine pia wanaowania tuzo hiyo kama Mizengo Pinda,James Mbatia,Ibrahim Lipumba,Bernard Membe na wengineo ingawa mchuano zaidi unaonekana ni kati ya Dr Slaa na Lowassa

Pia kuna tuzo kwa ajili ya vijana na wanapambanishwa John Mnyika,Halima Mdee,David Kafulila,Mwigulu Nchemba,Saada Mkuya na wengineo.

Mpambano huo unafanyika kwa kutuma ujumbe mfupi wa maneno kwa mfano kumchagua Dr Slaa unaandika ujumbe MM03 kwenda 15522.
Mkuu mbona hakuna jinsi ya kuwachagua wengine?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom