Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
asante kwa kutambua kama nchi hii imejaa rasilimali zisizo nufaisha watu wake.lakini suala la msingi hapa nikujiuliza je nani anaweza kubadilisha dhana hii .kwa mtazamo wa kawaida tu ukawa inawatu wazuri na makini lakini kama Dr slaa nitiba nadhani tupo mbali na ukweli kwasababu kuna watu mahiri ndani ya ukawa zaid ya slaa japo utata nao upata je makubaliamo ya kuteua mgombea hasa tofauti na chadem
 
Labda useme Dr Slaa na Frederick Sumaye kwani Lowasa na Membe wana makundi kwa hiyo wote hawatapita kwenye mchujo na ccm wako mbioni kujisafisha kwa kuweka mtu safi. Hata hivyo Dr Slaa ndo anaweza kutuvusha kuelekea nchi ya maziwa na asali kwa kuthibiti mafisadi, kukusanya kodi kikamilifu na kuitumia kuboresha maisha ya kila mtanzania.
 
dr. slaa ndo kiboko ya mafisadi, mwaka 2007 alianza kwa kuweka hadharani eleven list of shame, na lowasa alikuwepo ktk hio list, sasa hamuoni km leo hii ni kituko kuwalinganisha hawa jamaa? hapo ni sawa na
kulinganisha mlima kilimanjaro na kichuguu, dr. slaa ndo mt. kilinanjaro na lowasa nikichuguu
 
LOASA ImageUploadedByJamiiForums1420313964.206435.jpg ImageUploadedByJamiiForums1420313964.206435.jpg ImageUploadedByJamiiForums1420313964.206435.jpg e
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom