ni mtazamo wangu tu..hana maneno mazuri..ila silazimishi uamini nnachoamini
Wake za watu hawatuhusu, anatuhusu Dr. slaa,si mwiziusalama wa wake za watu kwanza tafadhari.
Achana nao mkuu hao ni vipofu.Hawa watu kuwashindanisha haiwezekani, kati yao ni sawa na Mbingu na Ardhi kama ulivyosema. Sasa CCM watamsimamisha nani? maana Lowassa ndo analipalipa kwa upande wao.
Mpaka umri huu hujui faida ya kura!!!
dr. slaa ndo kiboko ya mafisadi, mwaka 2007 alianza kwa kuweka hadharani eleven list of shame, na lowasa alikuwepo ktk hio list, sasa hamuoni km leo hii ni kituko kuwalinganisha hawa jamaa? hapo ni sawa na
kulinganisha mlima kilimanjaro na kichuguu, dr. slaa ndo mt. kilinanjaro na lowasa nikichuguu
Wakati gazeti la Nipashe likianzisha kura ya maoni miongoni mwa wana-CCM wanaotajwa kuwania kuteuliwa na CCM kuwakilisha chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao kwa lengo la kugombea nafasi ya uraisi kupitia chama hicho na huku bwana Lowassa akiongoza kwa kura,nafikiri ni busara na sisi kupitia mtando huu wa JF kumpambanisha bwana Lowassa na Dr. Slaa katika kinyang'aricho hicho cha uraisi kwa mwaka 2015.
Tupige kura kwa kuandika jina tu la mgombea unaedhani atafaa kuwa raisi endapo itatokea hao wawili wanateuliwa kuviwakilisha vyama vyao katika uchaguzi mkuu ujao.
NB😛iga kura bila kuendesha campaign yoyote.
Wakuu,ukienda hata kwenye ukurasa wa facebook kuhusu hii poll,utagundua tofauti baina ya hawa watu wawili ni sawa na mbingu na ardhi!
Hii poll hapa JF ni kioo tosha cha kuongoza vyama hivi wakati wa uteuzi utakapofika.
------------------------------------------------------------------
*Kwa maoni zaidi ya washiriki wa JamiiForums kupitia ukurasa wa Facebook - Dr. Wilbrod Slaa Vs Edward Lowassa (JamiiForums facebook page)
![]()
Mods mjulisheni Zitto, kuwa Dr.Slaa sio mtu tena ni taasisi yeye heshima kimataifa. Na wapambe wooooote mpeni taarifa hii ''Yuda'' wenu
Mods mjulisheni Zitto, kuwa Dr.Slaa sio mtu tena ni taasisi yeye heshima kimataifa. Na wapambe wooooote mpeni taarifa hii ''Yuda'' wenu
Ni kama yeye alivyobadilisha pale Serenasiku zinakwenda kwa kasi sana na wewe ulibadilishia gia angani hahaaaaa
Aiseeeeeeeeeeee!!!Mods mjulisheni Zitto, kuwa Dr.Slaa sio mtu tena ni taasisi yeye heshima kimataifa. Na wapambe wooooote mpeni taarifa hii ''Yuda'' wenu
Ehee,ikawaje?Zezeta la ccm.
Hakika,wanachungulia kisha wanasepa.Hizi nyuzi za zamani naona members wengi hawako active! watakuwa walibadili majina baada kuona mambo yamebadilika