Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Tatizo la kukimbia hesabu, hesabu za asilimia zinafundishwa darasa la tano, hata huko mkuu hukufika??? umefika!!! sasa inakuwaje.
 
Kwa nini magazeti ya kihuni hayatumii tafiti hizi ambazo bosi wao hajaongoza?
 
Alimaanisha hivi kwa vyovyote vile:
Voters 720. This poll is closed


  • Edward Lowassa 81 11.25%
  • Dr. Willibrod Slaa 597 82.92%
  • Wote hawafai/sijaamua 42 5.83%
​ Jumla 720 100.00%
 
Wanaomlinganisha Lowassa vs Dr.wa ukweli wanajikita kwenye ishu za mwenye pesa nyingi lakini wakija katika vigezo halisi ukweli upo wazi kama naniiu ya nyani siku zote imekaa wazi nje
 
samplespace ya watu milioni zaidi ya 40 unaichukua kama 720 tena kwenye interne unasahau asilimia kubwa ya wananchi wa tanzania wanaishi vijijini... Hii ya JF si authentic hata kidogo.....
 
Bawacha na Bavicha kwakujipa moyo siwawezi... slaa ni rais wa kuchukua wake za watu tu . magogoni kuna wenyewe . kama una bisha tunaweza ku bet kwa kuwekeana hela .
 
Bawacha na Bavicha kwakujipa moyo siwawezi... slaa ni rais wa kuchukua wake za watu tu . magogoni kuna wenyewe . kama una bisha tunaweza ku bet kwa kuwekeana hela .

siasa na matusi vitu viwili tofauti, jenga hoja zako utasikilizwa lkn waheshimu watu wazima hata kama mnatofautiana itikadi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom