Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Tatizo lako ndugu unajiona una uwezo mkubwa sana kuliko mtu yeyote hapa Tanzania na hata ukitazama post yako inaonyesha kuwa ni mjivuni. Suala la Urais ni jambo la msingi sana,usipotoshe umma,

ndugu yangu,fikiria kwanza,usipende kupelekwa hisia,au kuangalia wengine wanawaza au wanafanya nini,na usiwe bendera fuata upepo.

Uliyoyasema ni mtazamo wako ingawaje yapo tofauti na nilivyo.Sipendi kuendeshwa kwa mkumbo na ninaamini katika kile nikionacho ni sahihi,sina mob psychology hata siku moja.

Ngoja nikuulize,mleta mada/poll malengo yake ya kuanzisha hii poll ni nini?je hao anaosema sijui Maraisi,je wamepitishwa hata na vyama vyao kuwa wagombea?kwanini amewachagua hao wawili tu wakati wapo wengi tu wanaotajwa kuwania urais?je unafikiri sample ya humu JF inatosha kukupa wewe majibu muafaka?mwisho,hii poll inakusaidia nini wewe binafsi na taifa kwa ujumla?

Nakutakia siku njema.ikiwezekana tupange tuonane ili unijue vizuri ili uone kama naendana na hizo sifa ulizoniambia ninazo.
 
Kila siku Dr. Slaa anashinda kura za maoni huku JF....ila ktk kura za wananchi mfano kura za urais, serikali za mitaa hakuna kitu kabisa....!!! Dr. Slaa atabakia Rais wa huku JF tu...!!

So Lowassa is the NEXT PRESIDENT 2015....!!!!
 
Humu ndani ni kama kumpambanisha Laigwanani na padre muuza gongo mitaa ya ufipa.
mashabiki wa laigwa nani ni wengi lakini humu ndani ni ufipa na hata CCM wengi ni kambi nyingine
lakini viva lowasa
 
DK SLAA Ndo pende kezo la weng ktk hii mada me pia mmoja kat ya watu wanaomkubar xana DK SLAA sasa bac naomba tuc ishie kwenye mitandao ya kijamii tujitahd kwenda kupiga kura
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom