CDM mmecheka na nyani sasa tunavua mabua!
hivi hizi ndoto zimepewa nguvu na nani?
Kabisaaaa mtu unapata nguvu ya kumlinganisha Dr Slaa na Lowasa?
Lowasa akiombwa mdahalo na Dr Slaa mnadhani atakubali?
Labda LOWASA lakini babu hana nafasi tena na hata mwenyewe amejikatia tamaaa na ndiyo maana unaona siku hizi amejielekeza zaidi kwenye mambo yake bonafsi na mchumba wake ili wajiwekee hazina ya baadaye
Huyu kaka yangu Lowasa aache kabisa kugombe kupitia CCM kwani tayari inaonekana ana maadui wengi ndani ya CCm hivyo hao maadui wataungana na CHADEMA na hapo atavuna aibu ya mwaka. Yeye abaki mzee mshauri tu
Hivi SLAA naye bado anauota urais? licha ya uwa amepoteza mvuto kwa wananchi, lakini pia kwa jinsi ambavyo rasimu ya katiba mpya imedokeza sifa za mgombea urais, hakika babu hana nafasi, na kutifanya hivyo tutakuwa tumevunja katiba. Mgombea urais anatakiwa amesoma katika chuo kinachotambulika duniani na awe na mwenedo mzuri katika jamii. Babu amesoma elimu ya dini na ni mtu wa totoz za watu.
Tanzania hakuna madahalo, mdahalo gani unaandaliwa na chama, washiriki wote wa chama kimoja na maswali kuruhusiwa kichama? Tusidanganyane kabisa na midahalo kama ya akina ROSE KITWANGA ni upuuzi mtupu ule.
CDM mmecheka na nyani sasa tunavua mabua!
hivi hizi ndoto zimepewa nguvu na nani?
Kabisaaaa mtu unapata nguvu ya kumlinganisha Dr Slaa na Lowasa?
Lowasa akiombwa mdahalo na Dr Slaa mnadhani atakubali?