Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
nimehangaika kila njia niweze kupiga kura yangu.
kwa sisi watumia simu huwa nagusa hapo kwenye touch then natafuta mada husika napiga kura kwenye hii poll sijaona.
kama kuna mtu anaweza kunipa maelekezo ani pm ila kura yangu inaenda kwa dr slaa!
 
Dr. Slaa ndio Raisi.

Hatua 100 tunakomaa na kulinda kura makamanda.
 
hamna hata mmoja mwenye sifa hapo. lowasa anatuhuma za wizi kutoka kila kona na slaa anamtazamo finyu. eti ndani ya mwaka mmoja ataigeuza tanzania kuwa nchi ya viwanda, eti ndani ya siku 100 atakuwa amewapatia watanzania katiba. kichekesho.
 
Mbunge wa Mbeya mjini alikosa UBUNGE kwa kuwaita vijana wavuta bangi na wanywa viroba.Angalieni tu lugha mnayoitumia kwa vijana wapiga kura wa kesho.
 
....mazee acheni kumdhalilisha lowasa,looh hii ni fedhea sana teh teh teh...hatii mguuu kwa dr.....!!!
 
Dkt. Willbrod Slaa raisi wa mioyo ya watanzania wengi.
 
is not fair...combine magufuri,mwakyembe,Lowassa,Sitta and Membe VS DR.SLAA at least competition itakuwepo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom