Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
me mbona nashindwa kupiga kura jamani.. nielekezeni wanaojua


1. Login
2. angalia hapo juu kabisa kuna hii pool
3. click kwenye radio button pembeni mwa mgombea unaye mtaka

3. click sehemu imaandikwa "vote now"

4. simama hatua 200 kutoka kituo cha kupigia kura kusubilia matokeo
5. Shangilia ushindi au huzunika kwa kushindwa
 
Basi mkuu tulia kama maji mtungini, utapata ubaridi wake baadae

Sawa mkuu natulia. nimeongea hayo kwa sababu naijua vizuri sana hii JF.
Watu huwa wanahamasisha maandamano humu na wengine wanajidai kutoa updates eti wapo kati kati ya maandamano kumbe wametulia tuuli maofisini na majumbani mwao.
 
jaman mods me naona utaratibu wa kupiga kura haueleweki.. me nimejitahidi kupiga k6ra lakini sipati la k7chagua wahusika Dr. au EL. nikibofya kwenye "vote now" inaniambia nirudi nyuma kuchagua option .. naomba maelekezo zaidi otherwise. mods plse make the voting easierbto follow
 

Hebu wafahamishe. Wanajidai eti CHADEMA wamepiga kura mara mbili mbili, nani amewakataza kina Ritz na vijana wengine wa Lumumba kupiga kura mara tatu tatu? Ukweli mchungu.
 
Last edited by a moderator:
jaman mods me naona utaratibu wa kupiga kura haueleweki.. me nimejitahidi kupiga k6ra lakini sipati la k7chagua wahusika Dr. au EL. nikibofya kwenye "vote now" inaniambia nirudi nyuma kuchagua option .. naomba maelekezo zaidi otherwise. mods plse make the voting easier to follow
 

....peeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeoplesssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss
 
yaani kibabu kisimame na mvi, hahaha kibabu tupa kule kishajichokea na ahadi zake za uongo
 


Najua unatumia simu,bofya kwenye TOUCH kulia juu ya CMU yako ,halafu nenda kwenye full site bofya pia,tafuta huu uzi mambo yatajipa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…