Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Mpaka sasa nani anaongoza?maana nimeenada pale kwenye..nimeona kuwa EL81%,Dr slaa 04%,Anayefahamu anijibu.
 
Mpaka sasa nani anaongoza?maana nimeenada pale kwenye poll results nimeona kuwa EL81%,Dr slaa 04%,Anayefahamu anijibu.
 
..dr slaaa wa ukweeeeh ! Ngoja nawashe laptop.,.
 
Dr Yuleeeeeee anakaribia ikulu lowasa ndo kwanza anapiga mswaki kura yangu kwa dr
 
Wale wanaonufaika na rushwa, ufisadi na ujinga mwengine ndio wataoipigia kura CCM.
 
dr slaaaa.
Wakati gazeti la
Nipashe likianzisha kura ya maoni miongoni mwa wana-CCM wanaotajwa
kuwania kuteuliwa na CCM kuwakilisha chama hicho katika uchaguzi mkuu
ujao kugombea nafasi ya uraisi kupitia chama hicho na huku bwana Lowassa
akiongoza kwa kura,nafikiri ni busara na sisi kupitia mtando huu wa JF
kumpambanisha bwana Lowassa na Dr. Slaa katika kinyang'aricho hicho cha
uraisi kwa mwaka 2015.

Tupige kura kwa kuandika jina tu la mgombea unaedhani atafaa kuwa raisi
endapo itatokea hao wawili wanateuliwa kuviwakilisha vyama vyao katika
uchaguzi mkuu ujao.

NB😛iga kura bila kuendesha campaign yoyote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom