Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

Raisi Kivuli na First Lady Kivuli ..Mtaendelea Kuwa vivuli maisha yenu yote
 
Hapa ni kama anasema
"Mimi Padri bwana lakini hili toto limenifanya uzalendo unishinde kwa hiyo naibia kidogo"
attachment.php

Umechanganya maembe na mabumunda kwenye gunia moja halafu mwishowe unauza kama gunia lenye maembe peke yake.Mbona hushangazwi mke wa rais huwa anakuja mwenyewe marekani kwa gharama kubwa tu na hata kukodi private jets?JK naye misafari yake na misafara anayoongozana nayo ni ya kumwaga mtu!Sasa zipitie hizo concepts halafu uniambie kama uta arrive to the same conclusion.Pengine utagunduwa ni a mediocre one.And if smart enough to be aware of that,you can then initiate a corrective actions.

Mkuu jmushi1 nawe mbona unachanga kunde na mahindi? Marekani na CHADEMA wapi na wapi? Mbona hujasema kwamba Obama akienda ziara nje ya nchi kama alivyokuja hapa kwetu huwa anakuja na magari yake toka huko Amerika huku JK akienda hata hapo Kenya hawezi kubeba magari yake kwenye ndege na kwenda nayo? shida zetu ni kulinganisha vitu visivyolinganishwa hata kidogo. Kisha unakimbia kulinganisha CHADEMA na CCM. Kwa hiyo CCM ndio bench mark ya CHADEMA? CHADEMA haitaki kufanya zaidi ya CCM?

Hapa kuna kiongozi wa Chama tena chama kikuu cha upinzani katika nchi hii anaenda kukutana na viongozi wa serikali ya jimbo akiwa ameongozana na mke wake peke yao na huku wakiongelea mambo ya Chama na hata nchi. Kuna shida hapa hata kama mama Dr. Slaa ni mwanaharakati lakini si kiongozi wa Chama.

Kuna wakati Mama JK alikuwa akienda ziarani huko mikoani na kupokelewa na viongozi wa serikali watu tukapiga mayowe weeeee humu ndani na mambo yale naona hayapo tena. Lakini hili la mke na mume kuwakilisha chama ughaibuni tunashangilia na kupiga mbija!
 
Last edited by a moderator:
CCM wana chuki sijapata kuona...Yaani kila kitu wanataka wakifanye wao tu!Hapa si ajabu walitamani exposure hii aliyoipata Dr Slaa aipate Savimbi,Sipati picha kama Mwigulu ndio angeipata hiyo nafasi ya Dr Slaa mbona hapa JF pasingekalika!!!Mwigulu na mashabiki wake akina FaizaFox,Juliana Shonza,Hamy-D wangetusumbua sana.
 
Mkuu Hapa ndo umemaliza Kabisa.
Namkumbushia tu Kimbunga kuwa hata JK alipokwenda kwenye Sherehe ya Kuapishwa Kenyata alienda Riz1.
Sasa sijui ule ulikuwa ni mualiko wa kifamilia ama vp
Bramo usichanganye mambo. Marais ama viongozi kutembea na familia zao hakuna shida hata kidogo. Lakini piga akili kwamba JK, Mama Kikwete na Riz1 wanaenda nchi za mbali wanapokelewa na serikali na kufanya mazungumzo na serikali fulani peke yao; haya ni mazungumzo ya kiserikali kwa maaana ya kutuwakilisha sisi ama ni mazungumzo yao kwa maana ya kujiwakilisha wao? Tujipanue mawazo kidogo; Dr. Slaa ni kiongozi wa kitaifa na ukisha kuwa kiongozi wa kitaifa unakuwa ni taasisi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu jmushi1 nawe mbona unachanga kunde na mahindi? Marekani na CHADEMA wapi na wapi? Mbona hujasema kwamba Obama akienda ziara nje ya nchi kama alivyokuja hapa kwetu huwa anakuja na magari yake toka huko Amerika huku JK akienda hata hapo Kenya hawezi kubeba magari yake kwenye ndege na kwenda nayo? shida zetu ni kulinganisha vitu visivyolinganishwa hata kidogo. Kisha unakimbia kulinganisha CHADEMA na CCM. Kwa hiyo CCM ndio bench mark ya CHADEMA? CHADEMA haitaki kufanya zaidi ya CCM?

Hapa kuna kiongozi wa Chama tena chama kikuu cha upinzani katika nchi hii anaenda kukutana na viongozi wa serikali ya jimbo akiwa ameongozana na mke wake peke yao na huku wakiongelea mambo ya Chama na hata nchi. Kuna shida hapa hata kama mama Dr. Slaa ni mwanaharakati lakini si kiongozi wa Chama.

Kuna wakati Mama JK alikuwa akienda ziarani huko mikoani na kupokelewa na viongozi wa serikali watu tukapiga mayowe weeeee humu ndani na mambo yale naona hayapo tena. Lakini hili la mke na mume kuwakilisha chama ughaibuni tunashangilia na kupiga mbija!
Mama Salma alikuwa hapa juzi na private jet wewe unazungumzia Slaa kuja na mke wake?Hayo ya kuchanganya ndo uliyechanganya,mimi nilichofanya ni kucriticize,lakini bado umeshindwa kunielewa.Sasa ulitoa mfano wa Obama ya kazi gani wakati cticism yako ni towards Josephine?Mara nyingi tu nimeona Michelle akiongozana na Barack kwenye shughuli nyingi tu za kichama,achilia mbali kampeni.Sasa ukirudi kwa viongozi wetu,ndiyo hivyo JK na Salma wanapishana tu angani kwa kodi za wadanganyika na ufisadi mwingine unaohujumu taifa na maendeleo yake.
 
Last edited by a moderator:
Usitake kupotosha Dr. Slaa hajawahi kuoa Josephine, ni Girlfriend wake tu.
Kama ndivyo anavyomtambulisha,wewe kubisha humu JF ni kama kazi bure...Si uende mahakamani sasa?Zaidi ya hapo ni majungu tu na uzandiki.
 
Last edited by a moderator:
Hili halina ubishi , i have been involved in severalprojects pamoja kufuata mashati yote mwisho wa siku watu wasio penda rushwa na wenye business mentality waliondoka wakilaani .Wewe unajua hao wachache sisi tunajua wengi mno ambao ukiwatajia Tanzania wanaogopa wote .

Mwenzako kataja hao wachache, wewe mwenye "wengi" hujataja hata mmoja, au ni porojo zako tu.
 
icon1.png
Re: Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol

- Kweli mambo usiyoyajua ni sawa na usiku wa giza, Dr. Slaa ameenda na kukubali kupokewa kwa heshima na State ambayo mpaka leo mweusi hana heshima wala hawakubaliki, hivi Chadema mn washauri wa namna gani hasa? Wameenda shule kweli au ni wababishaji tu? aibu!!

Le Mutuz
 
- Kweli mambo usiyoyajua ni sawa na usiku wa giza, Dr. Slaa ameenda na kukubali kupokewa kwa heshima na State ambayo mpaka leo Sheria zake zinasema ni marufuku kwa Mweusi kuoa mzungu, hivi Chadema mn washauri wa namna gani hasa? Wameenda shule kweli au ni wababishaji tu? aibu!!

Le Mutuz

Sio kweli. Nimetoka harusini Birmingham, AL about 6 weeks ago. Rafiki yangu mkenya alioa caucassian woman
interracial marriage in the state of Alabama was made legal by the state legislatue in Novermber 2000.
 
- Kweli mambo usiyoyajua ni sawa na usiku wa giza, Dr. Slaa ameenda na kukubali kupokewa kwa heshima na State ambayo mpaka leo Sheria zake zinasema ni marufuku kwa Mweusi kuoa mzungu, hivi Chadema mn washauri wa namna gani hasa? Wameenda shule kweli au ni wababishaji tu? aibu!!

Le Mutuz

Wewe wenye kichwa kikubwa kama dume la siafu nani atakusikiliza!!!??
 
Kama hamjui maana ya
"state reception" mjue japo kutumia google mjisaidie, sio kila pumba
mnaloandikiwa nyie mnakubali tu ndio maana Slaa akawaita "indigo walk"
aka misukule.

hebu tuambie maana yake nini?
And one more thing, hivi kwann watu wanakuunganisha na alshabab.! Bado sijaelewa.!???
 
- Ndio nini hii unajua maana ya kuoa mzungu Alabama ni marufuku sheria bado ipo vitabuni mkuu!1

Le Mutuz

Do yourself a favour na upitie sheria za Alabama kabla hujapotosha uma. Interracial marriage became legal in the state of Alabama in November 2000
 
- Kweli mambo usiyoyajua ni sawa na usiku wa giza, Dr. Slaa ameenda na kukubali kupokewa kwa heshima na State ambayo mpaka leo Sheria zake zinasema ni marufuku kwa Mweusi kuoa mzungu, hivi Chadema mn washauri wa namna gani hasa? Wameenda shule kweli au ni wababishaji tu? aibu!!

Le Mutuz

ulichovaa kichwani hakiendani na michango yako...Hopeless ideas!!!
 
Kwa hiyo Obama alikuwa na
Michele na watoto wake peke yao? Mimi kwangu siyo Josephine kuwepo
kwenye ziara ila ziara kukosa uwakilishi wa kichama. Katibu Mkuu wa
Chama hawezi kwenda nje ya nv=chi kwa shughuli za chma akiwa peke yake
na mkewe! Hapa ndipo penye shida, inakuwa imekaa kifamilia zaidi. Mbona
Gavana wa alabama hakuwa peke yake tu na mkewe?

ni kweli nakubaliana na wewe obama hakuja peke yake.! Lakini je, hao wasaidizi ulikuwa unawaona kwenye picha ambazo zilikuwa zinapigwa?
 
Raisi Kivuli na First Lady Kivuli ..Mtaendelea Kuwa vivuli maisha yenu yote

unajua maana ya kivuli...kivuli ni wale wanaotumbua mabilioni ya watz usiku na mchana MFANO ni baba yako na ndgu zako pamoja na wewe mwenyewe..Unajua ni kwa nini ni vivuli serikali na uwezo wake woooote haikuwahi kuwakamata."KIVULI HAKIKAMATIKI".
 
Back
Top Bottom