FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,777
Ni heri mtu yule anayejua na akajifanya hajui kuliko yule asiyejua kujifanya anajua!
Tatizo wewe hujui unajifanya unajuwa.
Ni heri mtu yule anayejua na akajifanya hajui kuliko yule asiyejua kujifanya anajua!
You are good at conclusions madam te.....st (count the dots)Tatizo wewe hujui unajifanya unajuwa.
But irrelevant...
Kwani vyama haviruhisiwi kuwa na miktaba binafsi?Naona kuna document zinabadilishana mikono pale lakini tatizo ni kwamba Dr. Slaa yupo peke yake. Isije ikawa ni mikataba kati ya CHADEMA na Alabama?
Yes as per your perception.
Akiwa katika ziara yake nchini Marekani Mwaka Jana, Katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa siyo tu kwamba alikuwa kila alikokwenda, bali aliacha historia. Kiongozi huyu mkuu wa upinzani alionyesha kukubalika kwa kiwango kikubwa miongoni mwa viongozi wa ngazi mbali mbali nchini humo.
Kutokana na msimamo wake dhidi ya ufisadi, busara, pamoja na sera zake na za chama chake, Dr. Slaa alidhiirisha siyo umma wa Kitanzania na Kimarekani, bali dunia kwa ujumla ya kwamba ni kiongozi makini ambaye yuko Tayari kuliokoa taifa la Tanzania na bara la Afrika.
Akitoa uchambuzi wake katika kipindi cha radio anachokiendesha, Gavana wa Jimbo la Indiana Jijini Indianapolis , alisema kwamba ili Afrika iondokane na maradhi, ujinga, na umasikini, viongozi kama Dr. Slaa ndio dawa. " I am amazed and humbled to meet such a visionary man. My huts off to him. He is a brilliant and a visionary fellow whose time has come. He is a hero of our time. I can't imagine how difficult it must have been for him to campaign and under constant police horrific bombings and brutality" alisema governor Pence.
Dr. Slaa has demonstrated his will to transform his country, and as a state and a nation that values education, we must support his vision in preparation his country workforce. I can imagine the pain and agony of police harassment and brutality he goes through on daily basis because he is an opposing figure to the ruling regime. This is shameful
Many world leaders have forgotten the importance of education in development. Dr. Slaa's priority if building the labor force. aliongeza gavana Pence.
Kadhalika wachangiaji mbali mbali walioshiriki katika kipindi hicho, walionekana kumkubali Dr. Slaa mpaka kumfananisha na Nelson Mandela pamoja na Kwame Nkurumah
Katika kipindi kifupi akizunguka katika majimbo tofauti nchini marekani, Dr. Slaa alionyesha uchungu na nchi yake. Kadhalika ameonyesha umahiri mkubwa kusimama na kupigania haki, licha ya kufanya hivyo katika mazingira magumu na kandamizi.
Ameweka wazi msimamo wake, kwamba kamwe Afrika lazima ijiondoe katika biashara kandamizi na pia kuweka wazi msimamo wake wa kutokukukubali misaada ya kigeni isipokuwa biashara itakayo wanaufaisha wananchi wake na sawa na mwekezake. Siyo biashara inayoegemea upande mmoja.
Everyone with sound mind would see the irrelevance within this report!